Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivyo ni vya kimaskini, hatuvitaki, Dar ni slum 90%!, 80% poverty, and Tanzania yote ni over 50% multidimensional poverty, hizo kaeni nazo! Mtakombolewa siku moja. Kenya will have what the developed world has, and even best in Africa. 2030 has been our vision, remaining 9 years, 11 months and 26 days! Tuone Kenya itakaa vipi.
Vitu ambavyo hawa masikini wa Mungu hawatawahi kuviona kwenye nchi yao
View attachment 1312914View attachment 1312901View attachment 1312913View attachment 1312906

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masikini wanakimbia vijijini kutafuta maisha Dar!, wanaishia kwa slums, hawana kazi, wanaenda kurandaranda na kuzubaa kwa beach! hiyo sio maendeleo ni ufukara! Dar itakua ovyo kuliko Lagos. Kiambu county with a smaller population ukilinganisha na Dar collects more revenue than Dar, ina maana population ya Dar haisaidii uchumi wa Dar, wengi ni idlers, in a weekday kukiwa na mechi kati ya Simba na yanga huwa mnajaza stadium, kama vile mlijaza uwanja during cecafa women, can't happen in Kenya in a weekday! haiwezekani, ata wakisema ni bure kuingia.
Daah wajomba wanapingana na census yao ya 2019....

au census yao ilidanganya!!?

BTW Dar population now ni around 6 million
Census ya 2022 nahisi tutapiga around 9+ million people

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzanias 🍲 dishes
🐖 😋

20200105_125532png.png
 
Hivyo ni vya kimaskini, hatuvitaki, Dar ni slum 90%!, 80% poverty, and Tanzania yote ni over 50% multidimensional poverty, hizo kaeni nazo! Mtakombolewa siku moja. Kenya will have what the developed world has, and even best in Africa. 2030 has been our vision, remaining 9 years, 11 months and 26 days! Tuone Kenya itakaa vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Why are you crying though? You are delusional. I guess making up those percentages makes you feel better 😂 😂 😂 😂 When you speak of hopeless visions, we are out here executing projects. Keep dreaming dreamer
 
Eti wana jeshi hawa watu hii vita imewashinda ila kutoka huko wanaogopa aibu

Kama ile pathetic dar ndio watanzania wanaabudu hivo then i can't help them......marquee 90% of dar has no sewerage system.
Masikini wanakimbia vijijini kutafuta maisha Dar!, wanaishia kwa slums, hawana kazi, wanaenda kurandaranda na kuzubaa kwa beach! hiyo sio maendeleo ni ufukara! Dar itakua ovyo kuliko Lagos. Kiambu county with a smaller population ukilinganisha na Dar collects more revenue than Dar, ina maana population ya Dar haisaidii uchumi wa Dar, wengi ni idlers, in a weekday kukiwa na mechi kati ya Simba na yanga huwa mnajaza stadium, kama cecafa women, can't happen in Kenya in a weekday! haiwezekani, ata wakisema ni bure kuingia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo ni vya kimaskini, hatuvitaki, Dar ni slum 90%!, 80% poverty, and Tanzania yote ni over 50% multidimensional poverty, hizo kaeni nazo! Mtakombolewa siku moja. Kenya will have what the developed world has, and even best in Africa. 2030 has been our vision, remaining 9 years, 11 months and 26 days! Tuone Kenya itakaa vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Leta official link Kia dar ni 90% slum unamuona mzungu mjinga sana aeke sattelite ya mabilioni alaf asione slum dar aje aone Nairobi 😂😂😂😂😂
 
Kama ile pathetic dar ndio watanzania wanaabudu hivo then i can't help them......marquee 90% of dar has no sewerage system.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Hivi nikuulize swali? Una maisha wewe? Maana unakuja hapa na data zako za kichwani ambazo hazimake sense kujaribu kupotosha umma. Find a life, get yourself a girlfriend or pay for gym membership. Ukiumiza kichwa kwa nchi inayokua kwa kasi kama Tanzania utakuwa hadi unajinyea huko ulipo
 
Nairobi gdp is equal to the whole tanzanian gdp........daresalaam is just like Mombasa...i understand you have to defend your pathetic city ...i won't take that from you

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kawaida unakuja na idea zako kichwani. Hata kama ingekuwa ni kweli, hiyo ingeonyesha jinsi inefficient mlivyo nyie mbwa koko. Kila kitu kinakuwa centered hapo katikati, no wonder Mombasa county inataka iondoke kwenye hicho kichuguu mnachoita jamhuri. Nimeshakwambia, tafuta vitu vya kufanya sio kuleta idea zako mwenyewe utaaibika humu.
 
Back
Top Bottom