Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
www ndyo umeishiwa.....Definition ya kuishiwa ni statements ka hii...LoLEST
www ndyo umeishiwa.....Definition ya kuishiwa ni statements ka hii...LoLEST
ha hiyo English aliyoitumia ni very poorness... aisee....too badHahaahhaa katika maneno yaliyonifurahisha Leo ni haya.....wanjala are u going crazy my friend??
Maana naona hata hujui unachoongea kaka....pumzika kwa leo🙂🙂😀😀😀😀

Kala..... halo ulipo unajifanya unaishi far wakati hauijui far...... ushazoea..... mavumbini......... Karibu Sana Kwenye thread inayohitaji vitendo zsidi na simaneno... tatizo mazoea pole sanaMimi ni mtanzania nimeishi kote dar na Nairobi, hapa naona kuna confusion kidogo ya watu kusifia kwamba dar ina beach na nairobi haina beach, Seriously guys!!! Nairobi ni inland city guys sio kama dar ambayo ni coastal city, Hapa ni kama mnamfanya mtu mrefu apige magoti afu ashindane mbio na mtu mrefu...So irrelevant.
Back to the discussion.....Nairobi lile jiji kulinganisha na Dar es salaam ni kuiaibisha tz mana bado hatujafika zile level..Hii sio vita ya kuangalia idadi ya comments zilizosifia jiji fulani, NAIROBI NI HABARI NYINGINE ...PERIOD!!!!! Nenda Nairobi ukae wiki moja utembee uone utofauti,
wakenya ni wapuuziNimeshangaaaa mimi naona jamaa atusalimie tu basi hamna namna
umejuinga na jf 2016,mimi nipo hapa tangu 2011.kenyaforum ipo active kwa sababu ya bidii ya watz.bila sisi kenya forum inakuwa dormant.hilo linafahamika tangu siku nyingi.Tanzania is where it is because of Kenya, Example, if Kenyans withdraw from this JF! It gets closed!! We run the show here!!!


waambie hao maana wanakazana kwa kujifariji mombasa road mara sijui ngugi road..... wakenya wamejawa unafki pia uzandiki....nyang'au wakenyaumejuinga na jf 2016,mimi nipo hapa tangu 2011.kenyaforum ipo active kwa sababu ya bidii ya watz.bila sisi kenya forum inakuwa dormant.hilo linafahamika tangu siku nyingi.
pia topic zenye namba kubwa ya viewers na zinazo endelea ku-trend hapa kenyaforum,ni zile zilizoanzishwa na watz.
moja wapo ya thread hizo ni hii hapa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hii thread ilianzisha na mtz anaitwa Annael.
nionyeshe topic iliyoanzishwa na mkenya yenye viewers wengi kushinda hiyo na inayoendelea ku-trend mpaka sasa.![]()
![]()
![]()

It's shame yani Nairobi ina majengo ma 3 tu , tena yote yana antenna juu ili yaonekane marefu, yani na Photoshop yote babo ka mji kadogo na vi antenna juu , Babylon antenna cityA preview of how Pinnacle tower is gonna look! Just a rough draft of Photoshop
View attachment 514984
RIP Englishha hiyo English aliyoitumia ni very poorness... aisee....too bad![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hahahaha hatuwezi wote kua sawa eti tufanye kazi moja😀😀😀😀😀😀Ako sawa lakini...kanaushauri mzuri sijui kina icho,kadoda na Annael walikosa nini...si muige mfano wa bro wenu
kwanza wewe mtanzania wa wapi?????😀😀😀😀hayo maoni yako usifkiri wengine tumeyatoa kwenye ndoto tumetembea kote ndio maana tumeona tofaut....nairobi bado sana tena sana kwa darMimi ni mtanzania nimeishi kote dar na Nairobi, hapa naona kuna confusion kidogo ya watu kusifia kwamba dar ina beach na nairobi haina beach, Seriously guys!!! Nairobi ni inland city guys sio kama dar ambayo ni coastal city, Hapa ni kama mnamfanya mtu mrefu apige magoti afu ashindane mbio na mtu mrefu...So irrelevant.
Back to the discussion.....Nairobi lile jiji kulinganisha na Dar es salaam ni kuiaibisha tz mana bado hatujafika zile level..Hii sio vita ya kuangalia idadi ya comments zilizosifia jiji fulani, NAIROBI NI HABARI NYINGINE ...PERIOD!!!!! Nenda Nairobi ukae wiki moja utembee uone utofauti,
mm sinilisema toka mwanzo wachina wamewapiga hata muonekano wa train ni wakizamani tu alafu anakuja mtu kujisifu, subiri muone sgr ya kisasa tanzania baada ya 2years, stay calmzile screenshot wakenya "hawapendangi" kuziona.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
where is a fight??? wanjala tatizo lake anaongea sana mpaka anaongea nonsense..anakwambia cars ambazo ziko naironi ni nyingi kuliko tanzania nzima, sasa huyo mtu mzima kweli?????😀😀😀😀😀😀😀Ichoboy is disgusted by the pics Wanjala posts... He is picking a fight
Nakuelewa brathe....hamuezi fikia hizi standardsTrue, huku we don't have that culture,
Yaani nakaa kwenye Bweni na majirani Mobu.
Huku we have the so called informal settlement,
Yaani people buy a plot of Land in Town and build a house basing on individual requirements. You build a house of your dream. Maisha za mabwenini hatujazoea bwana. May be tutajatibu maana I see real estate is coming in dar as well.
Ety poorness???????ha hiyo English aliyoitumia ni very poorness... aisee....too bad![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hzo sio standards au ni utumwa mzee wa iphone 7 huku kwetu kila mtu anajenga kulingana na dream yake, akitaka hata nyumba ifanane na binaadamu ni yeye tu😀😀😀😀😀Nakuelewa brathe....hamuezi fikia hizi standards
Hahahahahahaha tz mnachekeshamm sinilisema toka mwanzo wachina wamewapiga hata muonekano wa train ni wakizamani tu alafu anakuja mtu kujisifu, subiri muone sgr ya kisasa tanzania baada ya 2years, stay calm
Ndio maana ukitoa cbd place imebaki yote ni slumshzo sio standards au ni utumwa mzee wa iphone 7 huku kwetu kila mtu anajenga kulingana na dream yake, akitaka hata nyumba ifanane na binaadamu ni yeye tu😀😀😀😀😀
sio tunachekesha tunaishi maisha huru alhamdlllah😀😀😀😀😀Hahahahahahaha tz mnachekesha