Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ata Manchester kuna terror attack ilihappen...terror attack is a world wide problem...nakusheherekea terror attack inaonyesha vile wewe ni mjinga wa mwisho
Wao Mara moja kwa mwaka nyie kila siku askari wenu wanauliwa tena kwenye ardhi yenu alaf unasema una security
 
Hii jamaa imekua NTV
f6fdab96dd2004454ffc561ace36bfd3.jpg
383d24a8784ed0cd93b6aaa9ddac0dc3.jpg
 
Ichoboy is disgusted by the pics Wanjala posts... He is picking a fight
 
Mimi ni mtanzania nimeishi kote dar na Nairobi, hapa naona kuna confusion kidogo ya watu kusifia kwamba dar ina beach na nairobi haina beach, Seriously guys!!! Nairobi ni inland city guys sio kama dar ambayo ni coastal city, Hapa ni kama mnamfanya mtu mrefu apige magoti afu ashindane mbio na mtu mrefu...So irrelevant.

Back to the discussion.....Nairobi lile jiji kulinganisha na Dar es salaam ni kuiaibisha tz mana bado hatujafika zile level..Hii sio vita ya kuangalia idadi ya comments zilizosifia jiji fulani, NAIROBI NI HABARI NYINGINE ...PERIOD!!!!! Nenda Nairobi ukae wiki moja utembee uone utofauti,
 
Mimi ni mtanzania nimeishi kote dar na Nairobi, hapa naona kuna confusion kidogo ya watu kusifia kwamba dar ina beach na nairobi haina beach, Seruously guys!!! Nairobi ni inland city guys sio kama dar ambayo ni coastal city, Hapa ni kama mnamfanya mtu mrefu apige magoti afu asgindane mbio na mtu mrefu...So irrelevant.

Back ti the discussion.....Nairobi lile jiji kulinganisha na Dar es salaam ni kujiaibisha...Hii sio vita ya kuangalia idadi ya comments zilizosifia jiji fulani, NAIROBI NI HABARI NYINGINE ...PERIOD!!!!! Nenda Nairobi ukae wiki moja utembee uone utofauti,
Umepagawa na Nairob kwasbb unachanganya Arusha na Nairobi.Arusha sio Dar compare Dar to Nairobi: Nairobi uchafu
 
Nyayo estate....ety bweni....hakuna estate ka hii tanzania
2544342e240920120f2edf9b77391e67.jpg
True, huku we don't have that culture,
Yaani nakaa kwenye Bweni na majirani Mobu.
Huku we have the so called informal settlement,
Yaani people buy a plot of Land in Town and build a house basing on individual requirements. You build a house of your dream. Maisha za mabwenini hatujazoea bwana. May be tutajatibu maana I see real estate is coming in dar as well.
 
True, huku we don't have that culture,
Yaani nakaa kwenye Bweni na majirani Mobu.
Huku we have the so called informal settlement,
Yaani people buy a plot of Land in Town and build a house basing on individual requirements. You build a house of your dream. Maisha za mabwenini hatujazoea bwana. May be tutajatibu maana I see real estate is coming in dar as well.
 
Duh huwa nasoma tu napita, ila hii imenifanya niandike! Wewe umefika Brazil ? Kwenye kundi la Brazil Kenya haimo. Brazil iko kwenye kundi linaitwa BRICS....nchi ya Afrika humo ni South Africa tu.
Nimeshangaaaa mimi naona jamaa atusalimie tu basi hamna namna
 
Back
Top Bottom