Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upige picha unajeuri hiyo
Kwani wewe sababu nimepost picha Leo Sasa unaniona Kama Mimi mgeni Dar ? Mbona hio dar natembea Sana na kila wakati nikija dar lazima nitembelee soko la samaki la ferri ambalo liko karibu na ikuluHaruhusiwi mtu kupiga picha maeneo hayo bila kibali ila Mimi nazipiga usinione fala.View attachment 1307631View attachment 1307633View attachment 1307632

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema umedownload google husitufanye sisi ni wajinga kama wewe

Kawadanganye kunyaland wenzako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitaka uone mlivyo na tatizo la sewer line.
Mkuu achana na huyu jamaa hata mimi nimeshindwa kumuelewa picha nyingi tu alizotuma,kuna baadhi ya picha amepiga kuonyesha maji ya mvua chini ambao kuna nyingine amepiga mvua ikiwa inanyesha wkt huo huo kwake ni shida sasa sijui alitaka msimu huu wa mvua chini aone almasi zikiwa zimezagaa!mvua zikinyesha lazima uone maji sema ajiulize yanakaa kwa muda gani baada ya mvua kukatika?!Anahangaika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaishi dar!!!...hivi kwa nini hamtaki kurudi kenya,nyie kwenu mna maisha magumu hamna utofauti na wa-ethiopia
Sasa hivi nipo Mombasa Baba.
IMG20191231115951.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo si CBD tatizo ni kamera yake,hata hivyo anajitahidi kuposti picha za watu wa kipato cha chini,huwezi kufananisha na yale mabanda ya huko kwenu mna hali mbaya sana,mwambie aendelee kuposti picha za makazi ya watu atoke hapo jangwani aendelee mbele Magomeni,manzese ...
Kwn cbd dar ni ya watu wa kipato cha chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We komora096 hyo pcha mbn nzr tu au we unaonaje unajua kuna pcha jamaa yenu kazipost hapa nmeshangaa kwmb amekosa pcha mbovu za Dar mpk anapost pcha nzr kwel Dar mpya kiboko
Na dar ni mpya kweli, kwanza hyo cbd

Picha mbovu za nn, wakenya hawana upuuzi huo...sisi tuna deal na yale makaazi mnayojisifia nayo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom