komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Tena ni magofu nakwambiaKwani Umesahau Dar watu wanaishi hadi pale cbd? Yani pale posta kuna nyumba za kuishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ni magofu nakwambiaKwani Umesahau Dar watu wanaishi hadi pale cbd? Yani pale posta kuna nyumba za kuishi

Wakenya ni wajinga sn kwn hujui mkuu wanaeza kusababisha mtu ukapgwa ban
Hauna Pesa ya kununua camera high quality ???? Hata hiyo gari unayotumlia ni kimeo
ngoja unase kwenye matope ya vixhochoroni
Sent using Jamii Forums mobile app

.,
20 + skyline of East African new York.View attachment 1308235View attachment 1308236View attachment 1308237View attachment 1308238View attachment 1308239View attachment 1308240View attachment 1308241View attachment 1308242View attachment 1308244View attachment 1308246View attachment 1308248View attachment 1308249View attachment 1308250View attachment 1308252View attachment 1308253View attachment 1308255View attachment 1308256View attachment 1308257View attachment 1308259View attachment 1308260
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo masaki dream houses(aka uswazi)Dar kama ulikuwa hujui hakuna mahali pa watu wa hali ya chini,wala wa hali ya juu,sisi sote kwa umoja wetu tunachanganyikana pamoja mwenye kipato cha juu,cha kati na cha chini kabisa ndo maana ukiingia streets utakuta hapa kuna nyumba mbaya jirani yake ana nyumba kaliii..CBD ya dar es salaam anaingia yeyote yule,na yeyote anaweza kufanya biashara na hasumbuliwi na yeyote,na ndo maana engineer Levi akawa anashangaa imekuwaje soko la samaki liko karibu na ikulu,na wanaouza hao samaki si wazungu wala wachina,ni watanzania kabisa yaani,hiyo ndo mifumo bora kabisa aliyotuachia mzee wetu mwl.JULIUS NYERERE...
Kwani Umesahau Dar watu wanaishi hadi pale cbd? Yani pale posta kuna nyumba za kuishi
Kwa muonekano hakuna tofauti ya Dar na Mombasa., Nairobi doesn't have such a 'lazy Swahili" look., Dar imechoka kishenzi, apart from the new upcoming skyscrapers (3 towers included) brt na flyover, Dar ni villagish kimaisha, not urban at all! Dar bana.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha ake acha maneno mingi

Dar inaishindia Mombasa zile tower tatu na ukubwa wa eneo peke yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
20 + skyline of East African new York.View attachment 1308235View attachment 1308236View attachment 1308237View attachment 1308238View attachment 1308239View attachment 1308240View attachment 1308241View attachment 1308242View attachment 1308244View attachment 1308246View attachment 1308248View attachment 1308249View attachment 1308250View attachment 1308252View attachment 1308253View attachment 1308255View attachment 1308256View attachment 1308257View attachment 1308259View attachment 1308260
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata kilugha chako haukijuiKiswahili will never help me anywhere in my life. Even my mother tongue is much useful than Kiswahili.
Sent using Jamii Forums mobile app

The Pictures you select confirms that Dar roads are 100% paved and the city is Very clean. Thanks for sharing
Naona wanajitahidi kulete picha ambazo zitafanana na slums za nairobi wanakosaJaribu kuposti picha mbaya....hakuna picha inayotishia mpaka sasa!
Keep it up,come ooon boy
Wewe na ujinga yenu ya ccm ndio maana mna hadi kibanda cha kuuza samaki huko state houseView attachment 1308279
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kunyaland ni mambulula wa mjiniLargest fish market in the whole of EA! Ati Kibanda the whole of Kenya haina fish market kubwa na most modern (gas supplied) kama hili!
![]()
![]()
![]()