Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alishatuonyesha venye CBD yenyu is shit so he had to go other places. In fact alituonyesha hadi upanga na ni kuchafu hata kuliko Muthurwa.
Hawezi kurudi kenya kutokana na kenya kuna maisha ya hovyo,kuna mtu anapenda kulala dandora,mukuru au shego slum near the state house..
Halafu sasa hajatu-expose vyovyote jamaa yako anapiga picha maeneo ya dampo,jangwani..unaweza kuonekana chizi unashangaa takataka kuwepo dampo are you crazy or what!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alishatuonyesha venye CBD yenyu is shit so he had to go other places. In fact alituonyesha hadi upanga na ni kuchafu hata kuliko Muthurwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo si CBD tatizo ni kamera yake,hata hivyo anajitahidi kuposti picha za watu wa kipato cha chini,huwezi kufananisha na yale mabanda ya huko kwenu mna hali mbaya sana,mwambie aendelee kuposti picha za makazi ya watu atoke hapo jangwani aendelee mbele Magomeni,manzese ...
 
Alete na makazi hadi kule mbezi mwisho, asituletee hayo makazi ya zamani maana kuna makazi mapya sehemu nyingi tu,
 
So shida ni camera yake juu hajaedit na kueka filters My friend you are a fool. Your CBD is dirty with no roads.
Tatizo si CBD tatizo ni kamera yake,hata hivyo anajitahidi kuposti picha za watu wa kipato cha chini,huwezi kufananisha na yale mabanda ya huko kwenu mna hali mbaya sana,mwambie aendelee kuposti picha za makazi ya watu atoke hapo jangwani aendelee mbele Magomeni,manzese ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am in love with this photo,yaani without make-ups lakini imekuwa very hot
Jamaa kaposti picha kali sana hamna mbaya
 
Attachments

  • 2256650_IMG20191228105344.jpeg
    2256650_IMG20191228105344.jpeg
    115 KB · Views: 6
So shida ni camera yake juu hajaedit na kueka filters My friend you are a fool. Your CBD is dirty with no roads.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nimependa kwa sababu kaitendea haki dar-es-salaam kaposti picha with no make-ups lakini zimekuwa very hot
 
Attachments

  • 2256650_IMG20191228105344.jpeg
    2256650_IMG20191228105344.jpeg
    115 KB · Views: 7
  • 2257400_2256636_IMG20191228121328.jpeg
    2257400_2256636_IMG20191228121328.jpeg
    96 KB · Views: 8
Back
Top Bottom