komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Tulia engineer awadunge vitu vya uhakika, yani tangu juzi analeta vitu vya uhakika kw groundPic alizopost mjinga mwenzio ni za wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia engineer awadunge vitu vya uhakika, yani tangu juzi analeta vitu vya uhakika kw groundPic alizopost mjinga mwenzio ni za wapi?
Kama walivyokua wakisema TZ is a sleeping giant sasa inabidi tuongeze msemo mwingine "If the Giant starts to walk, no dwarf will catch him even if they try to run".Kiukweli tumepoteza muda sana toka Awamu ya Mwinyi haki Jakaya,
Halafu unakuta kuna fala mitandaoni anasema sijui nini uhuru wa Kujieleza and all the nonsense.
Tungekuwa na huyu Mwamba kwa miaka 20 nchi hii itakuwa ulimwengu wa Kwanza.
CBD beeibiii
Engineer kweli umeishiwa!!!Very clean city, unlike Nairobi.View attachment 1307793View attachment 1307794View attachment 1307795View attachment 1307796View attachment 1307797View attachment 1307799View attachment 1307800View attachment 1307802View attachment 1307803View attachment 1307806View attachment 1307805View attachment 1307807View attachment 1307808
Sent using Jamii Forums mobile app
The level of ushambaness in daresalaam is shocking......most of them are far from urban mentality.....hata uber iligive up....View attachment 1307788View attachment 1307789View attachment 1307790View attachment 1307791
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunaona anaposti takataka tena sababu huu mwezi kuna matatizo ya mashine za dampo ndiyo takataka vikashindikana kushuswa dampo ila bado atujaona slum na majjna yakeEngineer leta pichakuna watu huku wanaumua hadi wanenda mitandaoni kutafuta random pics za ghetto...
Tuma vitu engineer
Sent using Jamii Forums mobile app
Gtc ndio zinawapa kiwewe na haziijakamilika sijui zikifunguliwa kama tutakunywa maji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna wajishuku![]()
Hii picha ya mtaa wa Morogoro na Jamhuri, inatatizo gani?
Km nynyi mnaona takataka basi shauri yenu, sisi tumeona cbd, upanga beebii nk..Sisi tunaona anaposti takataka tena sababu huu mwezi kuna matatizo ya mashine za dampo ndiyo takataka vikashindikana kushuswa dampo ila bado atujaona slum na majjna yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijishuku nimeuliza kwa kuwa hiyo picha imewekwa hapa mara mbili na sioni ubaya wake.
Nani aliyekutuma uje kulalamika sasa, hawa TISS si wanawatumia vibaya jamani...Sijishuku nimeuliza kwa kuwa hiyo picha imewekwa hapa mara mbili na sioni ubaya wake.
Kama tatizo lako ni ukungu (moss) kwenye hilo ghorofa la benki basi elewa hiyo inatokana na hali ya hewa ya Dar es salaam.
Hewa ya hapo ina ufukuto (unyevu nyevu), utokanao na matonetone madogo ya maji kutoka baharini, ambayo hutengeneza mazingira ya ukungu (algae/moss) kuota. Hata ukipaka rangi leo baada ya miezi sita kutaota ukungu mwingine.
Zaidi ya hapo sioni tatizo la hiyo sehemu na hasa ukizingatia hayo nia makazi ya watu (Dar, watu wanakaa katikati ya mji)
Iyo gigiri kuna nn apo maana izo nyumba hata kinyerezi zipo acheni ujingaHakuna estate Dar nzima unayoweza kulinganisha na Gigiri au Runda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwezo wako wa kujenga hoja ni mdogo sana.Nani aliyekutuma uje kulalamika sasa, hawa TISS si wanawatumia vibaya jamani...
Sasa mimi nimekwambia tunaona cbd wewe unakuja kulialia hapa...
Narudia tena, sisi tunaona dar cbd beeibii usitake kunitoa kw mada kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mbn pazuri hv....
Mjinga mmoja anajifariji na pcha za mwanza za 2000s mwengne analeta pcha za Morogoro anasema Dar eti wanajaribu kutuongopea WaTz kuusu Tz wakenya kweli wase**geUkitoa milima milima ya igogo na mabatini vilima vingine viko poa tu, just seeView attachment 1307947View attachment 1307948View attachment 1307949View attachment 1307950View attachment 1307951View attachment 1307952hata hivyo kwenye hiyo milima ya igogo na mabatini watu wanajaribu kuboresha makazi yao. Nyumba zao huwezi linganisha na ujinga wa kibera View attachment 1307953


Atari mkuu unaeza sema upo Chicago kumbe mwanza TzHuwezi kuta kitu kama hiki Nairobi nzima zaidi ya dimbwi View attachment 1307960View attachment 1307961View attachment 1307963
Mkuu achana na huyu jamaa hata mimi nimeshindwa kumuelewa picha nyingi tu alizotuma,kuna baadhi ya picha amepiga kuonyesha maji ya mvua chini ambao kuna nyingine amepiga mvua ikiwa inanyesha wkt huo huo kwake ni shida sasa sijui alitaka msimu huu wa mvua chini aone almasi zikiwa zimezagaa!mvua zikinyesha lazima uone maji sema ajiulize yanakaa kwa muda gani baada ya mvua kukatika?!Anahangaika sana.Sijishuku nimeuliza kwa kuwa hiyo picha imewekwa hapa mara mbili na sioni ubaya wake.
Kama tatizo lako ni ukungu (moss) kwenye hilo ghorofa la benki basi elewa hiyo inatokana na hali ya hewa ya Dar es salaam.
Hewa ya hapo ina ufukuto (unyevu nyevu), utokanao na matonetone madogo ya maji kutoka baharini, ambayo hutengeneza mazingira ya ukungu (algae/moss) kuota. Hata ukipaka rangi leo baada ya miezi sita kutaota ukungu mwingine.
Zaidi ya hapo sioni tatizo la hiyo sehemu na hasa ukizingatia hayo nia makazi ya watu (Dar, watu wanakaa katikati ya mji)