Dar kama ulikuwa hujui hakuna mahali pa watu wa hali ya chini,wala wa hali ya juu,sisi sote kwa umoja wetu tunachanganyikana pamoja mwenye kipato cha juu,cha kati na cha chini kabisa ndo maana ukiingia streets utakuta hapa kuna nyumba mbaya jirani yake ana nyumba kaliii..CBD ya dar es salaam anaingia yeyote yule,na yeyote anaweza kufanya biashara na hasumbuliwi na yeyote,na ndo maana engineer Levi akawa anashangaa imekuwaje soko la samaki liko karibu na ikulu,na wanaouza hao samaki si wazungu wala wachina,ni watanzania kabisa yaani,hiyo ndo mifumo bora kabisa aliyotuachia mzee wetu mwl.JULIUS NYERERE...