Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi ina ukubwa gani?
Huo ukubwa ambao ukitembea km chache tu unaanza kukutana na slum,
Kariakoo pekee ina maghorofa mengi kuliko Nairobi.
Ile kariakoo ambayo ni market, residential area and cbd at the same time?? 😂 😂 😂
 
Ukisogeza camera unaona
1986092_Screenshot_20190208-190901.png
1970041_2018-08-23.jpg
1970041_2018-08-23.jpg
1970041_2018-08-23.jpg
 
Nchi nzima inategemea nai tu hakuna seem nyngne daahh[emoji23][emoji23]
Hii Kariakoo is just confused like bongolalas. Watu wanaishi ndani ya cbd 😂 😂 😂 😂
New York of Africa inachekesha sana
aerial-view-of-kariakoo-and-cbd-looking-north-from-kariakoo-dar-es-salaam-tanzania-MGBBPF.jpg
aerial-view-of-kariakoo-and-cbd-looking-northeast-from-kariakoo-dar-es-salaam-tanzania-MGA1B4.jpg
3a9c90e573e4b59dd2e63e511c7beb1a.jpg
aerial-view-of-kariakoo-and-cbd-looking-east-from-kariakoo-dar-es-salaam-tanzania-MGBBRH.jpg
 
Nenda mbezi beach, Madale, Goba, Kinyerezi, Bunju, Mbezi, Kijichi Nk uone Dream Houses ,
Angalia hiyo Video
Wakenya wa JF na Engineer wao fake they've to know kitu kuhusu Dar

Dar is not all about tower 3, Masaki, CBD, Uswazi kwenye zile nyumba zenye bati za kutu....

Dream Houses tunazozingumzia zipo huko + the place in video

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom