Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Na zingine hizi [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1306907View attachment 1306908View attachment 1306909View attachment 1306910View attachment 1306911View attachment 1306912
Huku ndo Uswazi sasa, the places for the low income people....
Najua upo Dar, nakukumbusha ya kwamba those places ndo wale wenzangu na mimi pangu pakavu tia mchuzi....
Our super dream apartments.View attachment 1306985View attachment 1306986View attachment 1306987View attachment 1306988View attachment 1306989View attachment 1306990View attachment 1306991View attachment 1306992View attachment 1306993View attachment 1306994View attachment 1306995View attachment 1306996View attachment 1306997View attachment 1306998View attachment 1306999View attachment 1307000View attachment 1307001View attachment 1307002View attachment 1307003View attachment 1307004
Sent using Jamii Forums mobile app
Excuses vibao. Dar is an embarrassment to EA.Najua upo Dar, nakukumbusha ya kwamba those places ndo wale wenzangu na mimi pangu pakavu tia mchuzi....
Kigogo, Mburahati, Manzese, Tandale, Buguruni, Vingunguti, Kiwalani, Yombo, Mabibo, Tandika, Keko, Buza, Mbagala sehem hizo zote zinafanana kimazingira though kuna mixture ya raia wenye vipato vya kawaida na vipato vya chini
In Dar we've no such huge gap btn walicho nacho na wasiokua nacho
Si mbaya uki post na nyumba nzuri utakazokutana nazo ukiwa sehem tajwa hapo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwacheni mgeni wetu ahangaike ila ajue kabisa hatoweza kukutana na mtaa wa nyumba za matope mabati ama mtaa unaofafana na zizi la nguruwe kama kule kwao Nairobi,pia namshangaa anapopiga picha maeneo ambayo watu wameshalipwa fidia au wako kwny tathimini kwa ajili ya kupisha sehemu hizo kwa ajili ya development.Unahangaika sana kijana.
Mwacheni mgeni wetu ahangaike ila ajue kabisa hatoweza kukutana na mtaa wa nyumba za matope mabati ama mtaa unaofafana na zizi la nguruwe kama kule kwao Nairobi,pia namshangaa anapopiga picha made maeneo ambayo watu wameshalipwa fidia au wako kwny tathimini kwa ajili ya kupisha maeneo hayo kwa ajili ya development.Unahangaika sana kijana.
Hivyo vibanda vya bati sio nyumba za kuishi in kiosk tena ukute mtu anajihifadhi hapo kwa ajili ya kusubiria watu wanaokusanya chupa za plastic mitaani kwny kujitafutia riziki aisee kama zingekuwa nyumba basi duh hao watu watakuwa wanalala wamesimama very tiny.Excuses, Excuses, Excuses. A Tanzanian hajawaikosa excuses. So hii hapa ni nyumba ya concrete?View attachment 1307077
Sent using Jamii Forums mobile app
We mwehu kweli ss tuipite mara ngp cc kwa ss tunajiandaa kuachana na hii battle kwakuwa nyie co saiz yetu tena mda c mref tutakuwa tunawauzia umeme tutaanza kuwapa msaada wa chakula mmeshaanza kutumia hospitali zetu kwa magonjwa km cancer mmeshaanza kuja kujifunza jnc ya ku finance miradi mikubwa ss tuwazid mara ngp
Najua saa hii hamtakubali. Dar is one of the poorest cities in the world.Hivyo vibanda vya bati sio nyumba za kuishi in kiosk tena ukute mtu anajihifadhi hapo kwa ajili ya kusubiria watu wanaokusanya chupa za plastic mitaani kwny kujitafutia riziki aisee kama zingekuwa nyumba basi duh hao watu watakuwa wanalala wamesimama very tiny.
Huku ndo Uswazi sasa, the places for the low income people....
Parts of Magomeni, Kigogo kwenye picha
Usisahau basi kwenda Tabata(Segerea + Kimanga), Mbezi ya Kimara, Goba, Makongo, Bunju, Ununio, Boko, Tegeta, Mbezi Beach, Kunduchi, Mbweni, Madale, Kigamboni, Tuangoma, Kibada, Mji Mwema, Sinza, Mwenge, Kijitonyama, Mikocheni, Msasani, Kinondoni, Ubungo
hizo tuu chache where from what i know huko ndipo wanapoishi wenye vipato vya kati na juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua upo Dar, nakukumbusha ya kwamba those places ndo wale wenzangu na mimi pangu pakavu tia mchuzi....
Kigogo, Mburahati, Manzese, Tandale, Buguruni, Vingunguti, Kiwalani, Yombo, Mabibo, Tandika, Keko, Buza, Mbagala sehem hizo zote zinafanana kimazingira though kuna mixture ya raia wenye vipato vya kawaida na vipato vya chini
In Dar we've no such huge gap btn walicho nacho na wasiokua nacho
Si mbaya uki post na nyumba nzuri utakazokutana nazo ukiwa sehem tajwa hapo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa watoto wakijiachilia hivi basi VVU havitopunguaNajua upo Dar, nakukumbusha ya kwamba those places ndo wale wenzangu na mimi pangu pakavu tia mchuzi....
Kigogo, Mburahati, Manzese, Tandale, Buguruni, Vingunguti, Kiwalani, Yombo, Mabibo, Tandika, Keko, Buza, Mbagala sehem hizo zote zinafanana kimazingira though kuna mixture ya raia wenye vipato vya kawaida na vipato vya chini
In Dar we've no such huge gap btn walicho nacho na wasiokua nacho
Si mbaya uki post na nyumba nzuri utakazokutana nazo ukiwa sehem tajwa hapo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa watoto wakijiachilia hivi basi VVU havitopunguaView attachment 1307096View attachment 1307114View attachment 1307104
Sent using Jamii Forums mobile app