Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zunguka uwezavyo mwisho wa siku 👇👇👇😂😂😂😂😂😂😂😂View attachment 1307414
New York of Africa 😂 😂 😂 😂 😂
2236463_tapatalk_1544391491947.jpeg
 
Hahahahaaa duh we jamaa umewaweza jamaa zangu akina Geza, Icho na wengine. In fact hapa Dar hatuna city hata kidogo tuna kamji fulani kamejaa uchafu wa kila namna, barabara chafu, vibanda vichafu kila mahali hata kwenye sidewalks na bus stages. All inatokana na akili mbovu za wajinga wa CCM ndo maana nchi inarudi nyuma lakini wao wanashangilia kila upuuzi unaofanyika. Mfano jana nilikuwa naangalia the list of ten highest GDPs in Africa, Tanzania ina 61bln USD while Kenya is 99 bln USD.
Actually Tanzania under CCM will go no where in terms of development.
Kwa jinsi ulivyoongea, usishangae wakisema wewe ni mkenya
 
Hivyo vibanda vya bati sio nyumba za kuishi in kiosk tena ukute mtu anajihifadhi hapo kwa ajili ya kusubiria watu wanaokusanya chupa za plastic mitaani kwny kujitafutia riziki aisee kama zingekuwa nyumba basi duh hao watu watakuwa wanalala wamesimama very tiny.
Wakati Ichoboy alienda kisumuna kutuletea picha hapa, kulikuwa na baadhi ya picha zilizoenyesha viosks vya bati. Tulipouliza nini mbaya na hizo viosk mlisema kwamba Dar mzima mtu hawezi pata viosks vya bati kama hizo za kisumu. Iweje leo zipo? Kama kawaida njia ya mwongo ni fupi!
 
Back
Top Bottom