Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,174
- 29,785
Subiri mwakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Jangwani haijaanza kufurika leo,Kwanza huyo kamanda wako alikua waziri wa barabara pili kwa miaka minne akiwa rais Jangwani bado kunafurika na kutatiza usafiri Dar,kwa hivyo usisifie ushenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app


