Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,104
- 31,354
Hadi mwaka 2023 tutakuwa tumefunga huu Uzi na kufungua dar vs jobeg
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilivist more than five resorts but this one was worse watoto wa watu wanaangamia kwa VVU usishabikie ujinga Kama wako hakukuepo basi wa mwenzako usisherehekee.Hapa ni ufukweni ulitaka watu wavae makoti?!!!Ondoa ushamba wako hilo sio danguro,kutoka hapo ni hatua kama kumi tu uko kwny maji.Watu wako na raha zao haina ubaguzi tajiri maskini ruksa kula bata kokote.
TPA nje hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dar es saalam streets are super dirty. This TPA, angalieni hapo chini.View attachment 1306865
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ulikuwa nairobi na hukupiga picha km engineer levi[emoji1787][emoji1787]Full is here[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1306869
Leta picha za uswazi slum na majina ya hizo slum acba porojo mingi tnanasubiriAlipo rais so hoja Cha msingi ni ikulu ipo sehemu mbaya Sana kwanza karibu na soko la samaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba bora kabisa unataka kuzifananisha na yale mabanda yenu ya mabati full suti au zile mabanda za kaloleni slumsOur super dream apartments.View attachment 1306985View attachment 1306986View attachment 1306987View attachment 1306988View attachment 1306989View attachment 1306990View attachment 1306991View attachment 1306992View attachment 1306993View attachment 1306994View attachment 1306995View attachment 1306996View attachment 1306997View attachment 1306998View attachment 1306999View attachment 1307000View attachment 1307001View attachment 1307002View attachment 1307003View attachment 1307004
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilivist more than five resorts but this one was worse watoto wa watu wanaangamia kwa VVU usishabikie ujinga Kama wako hakukuepo basi wa mwenzako usisherehekee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejua ulinzi uliopo maeneo yale hata usingeandika huu ujinga.Alipo rais so hoja Cha msingi ni ikulu ipo sehemu mbaya Sana kwanza karibu na soko la samaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha zaidi tuone hiyo worse unayosemaNilivist more than five resorts but this one was worse watoto wa watu wanaangamia kwa VVU usishabikie ujinga Kama wako hakukuepo basi wa mwenzako usisherehekee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako hapo unaona kuna nyumba ya mabati?
Mazee, kumbe ule msemo wa mwakani ni matumaini tu ndio wanajipa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na ukiskia venye wanajiconsoul ati watapita Nairobi 2020 huwa nacheka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa...engineer itabidi awaanike kabisa, cbd barabara zinakaa ni km uko mogadishu
Usichange gear, mbna barabara za cbd dar ziko ovyooNairobi ina ukubwa gani?
Huo ukubwa ambao ukitembea km chache tu unaanza kukutana na slum,
Kariakoo pekee ina maghorofa mengi kuliko Nairobi.
Punguza shobo,
Mwambie achiboy akifika nairobi cbd apige picha, manake last time aliogopa akakimbilia kisumu na kupiga picha kw slum[emoji24]Punguza shobo,
Hazijafikia uchafu wa Nairobi.
Kwani unavaaje au suti kwenye jua Kali ? Lazima wakutazame au unafanana na nyani ndiyo wanakushangaa?Nimekua dar more than five times lakini bado nashindwa kutembea maana ukipita kwa mtu anaanza kukuangalia umevaa vipi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujafikia garbage city nairobi,Mwambie achiboy akifika nairobi cbd apige picha, manake last time aliogopa akakimbilia kisumu na kupiga picha kw slum[emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea sana!!!!Hope uliwasaidia kushika miguu wkt wanatafuta huo ukimwi.Nilivist more than five resorts but this one was worse watoto wa watu wanaangamia kwa VVU usishabikie ujinga Kama wako hakukuepo basi wa mwenzako usisherehekee.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] kwel ww akili zako mbovu yn unapenda sana kujifariji na hyo ndio tabia ya nyie Wakenya unapngea kitu ili moyo wako upate faraja wkt ukweli haupo hivyo aya tupe evidence ya hvyo vitu ulivyosemaEbu niambie eneo Dar imepita Nairobi.
1. Barabara, Nairobi is ahead.
2. Housing sector, Nairobi is ahead
3. High rises, Nairobi is ahead
4. Education, Nairobi is ahead
5. Economic strength, Nairobi is ahead
6. Nairobi has high number of international organizations
7. Malls, Nairobi is ahead
8. Cleanliness, Nairobi is ahead.
9. Wealth, Nairobi is ahead
10. Airport PAX, Nairobi is ahead.
11. Five star hotels, Nairobi is ahead.
12. Health sector, Nairobi is ahead.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaandika ili ajifurahishe 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] kwel ww akili zako mbovu yn unapenda sana kujifariji na hyo ndio tabia ya nyie Wakenya unapngea kitu ili moyo wako upate faraja wkt ukweli haupo hivyo aya tupe evidence ya hvyo vitu ulivyosema