I like honest people like you. watu wanaosema ukweli bila kupumbazwa na uzalendo. Wenzako walishaanza kukana hizo picha Kama ilivyo desturi yao na kusema sio za Tanzania. Okay Nina Swali: picha alizoleta ichoboy za Kaloleni kisumu zilionyesha mtaa ambayo iko na lami hadi taa za barabara na imepangika tu vizuri na nyumba zilikuwa za block ila mkaziita slum. Nasema hivyo Kwa sababu Naona umetaja kwamba yale maeneo ya Arusha niliyoonyesha kuna mabadikiko makubwa na kwamba siku hizi kuna lami. So lami ni bora tu ikiwa Kwenu ila ikiwa kwenye mitaa zetu hazina umuhimu wowote? Ile Kaloleni alioonyesha ichoboy ni bora kushinda Mitaa nyingi sana hata kule Dar ila huku mnaziita slum