Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ningekua arusha ningekupigia izo sehemu exatly ulizopost ila sipo ziko improved kwa miundombinu ila not 100% pia watu wa hayo maeneo nyumba za kuta za block zimezidi sa hv nyumba ya ajabu utakuta ni mbili katika kumi kila mtu anajitahidi kuendelezea eneo lake mkuu japo sio kwamba kumebadilika 100 hapana ila kuna big dfrnc

Sent using Jamii Forums mobile app
I like your honesty. Kwa wenzako, Kaloleni ni sehemu mbaya sana ya kuishi tena inaitwa slum ila uswazi za Dar ni bora tena sana

Kaloleni, Kisumu
2251648_tapatalk_1577185898968.jpeg

Mbagala, Dar
PhotoGrid_1576093166214.jpg

They say a picture speaks a thousand words
 
yeah zipo ila kwenye ulizotuma hapo nika ku quote ni arusha na ni sehemu ambazo nimepita so nazijua ila za mwanza juu nimeziona mkuu ila sijatia neno maana sijawahi fika mwanza m arusha dar mbeya kilimanjaro naweza nkakuelewesha hali halisi ya makazi yake ndio sikuongelea kuhusu ya mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
You are very different from your fellows. Hawa wengine wangekana kila kitu, including wale ambao hata hawajawahi kufika mwanza. Wao Wanajua Nairobi kuliko hata sisi wenyeji
 
buddy i never said n slum m naangaliaga tu ila hii n battle so everyone anawaza ur weakness kuliko ur strength ayo makazi ya kisumu me nimeona ni kawaida hata korea kuna mrundikano wa nyumba ila kama mtu anapata umeme maji hospital i see no problem hata yuko anaishi kwenye so called slum so i think makazi ichoboy aliyoyaleta hayana tatizo kwangu mkuu nimeona yameendelezwa lami safi m sijaona tatizo kasoro tu izo nyumba na vibanda vya bati ndio vinazingua ila otherwise ni sehemu nzury kama watu waki work hard wakaendeleza makazi yao kama serikali inavozidi kuwa support

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo vibanda vya bati wameleta hapo nyingi ni duka na salons ila wanalazimisha na za makazi. Nimeleta picha ya Kaloleni hapo juu naamini umeona jinsi ilivyo
 
Hizo picha hazina shida,shida unayo wewe..
Mbona ziwe na shida wakati ni dream houses? 😂 😂 😂. Lol... The houses that every Tanzanian dreams to own! 😂 😂. Kweli some standards are so low. I thought you were going to say kwamba hizo pia zishabomolewa. Kumbe bado zipo 😂
 
I like your honesty. Kwa wenzako, Kaloleni ni sehemu mbaya sana ya kuishi tena inaitwa slum ila uswazi za Dar ni bora tena sana

Kaloleni, Kisumu
View attachment 1305075
Mbagala, Dar
View attachment 1305080
They say a picture speaks a thousand words
meshindwa kucomment ila nazani ni watu hatujaeliwana kuhusu mfumo wa makazi kwenye hizi nchi mbili ni tofauti kidogo ndio maana kila mmoja ana tukana wenzie hapo kaloleni naona ni pazury ki huduma sema makazi ya watu ndio yanaaibisha hapo kaloleni ila hapo mbagala hapana mpangilio hio ni moja barabara nyingi upana mita tatu so ukipiga picha juuu sana utakuta huoni kabisa road ndio maana watakuambia zoom ili uone ukweli barabara za kwenye makazi bongo ni for one car kumove around na nyingine hata hilo moja linapita kwa shida ila ukienda apo apo mbagala utakuta nyumba duni ni za matofali hatakama hazijapigwa plasta pia utakuta hakuna uchafu to extent unlike sehemu nyingi duni zinazopostiwa hapa kibera na uchafu pia ni tatizo kwa io ukija ku conclude utagundua kaloleni iko arranged na inaonekana vizury ila wakazi wake hawajajiweza vizury bado ila mbagala makazi yapo randomly ila wakazi wake wamejitahidi kujiimarishia makazi yao yaonekane pia gharama kujenga dar n affordable sana maana mchanga ukichimba choo ndio huo utafytulia tofali nakathalika ndio makazi duni 99% dar utakuta yana kuta bora japo yako ajabu au finishing sio nzury mfano hio clip iliyoekwa apo n project ambazo zinaendelea baathi ya sehemu kwa ajili ya improvement of unplanned settlement chini ya dmdp unapunguza kwa percent fulani makazi ambayo hayajapangiliwa kwa kuongeza upana wa barabara na kuzi pave kisasa ili makazi yawe kwenye mpangilio japo bado hayataishaa ila kwa asilimia tutayapunguza ila nazani wote wa kaloleni na mbagala wanapata maji na umeme na kituo cha afya ivo vinatosha kudetermine kuwa n binadamu wanaishi vizury muonekano wa makazi yao usifanye tuwaite hawa wanakaa kwenye slum as if sio human being muhimu wanapata huduma za kijamii basi kwangu n juhudi zao ku prove makazi yao hata kama hayajapangiliwa mfano kama ningeweza kushauri mngeeka program ya vyoo na usafi kibera amina pangekuwa panavutia usingekumbuka wanaishi low income that all i can say

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa uwe unaona aibu unaposti picha za mwaka 2012,leo hii kuna mabadiliko makubwa sana ndo watu wanashindwa kukubali kama ni Arusha kweli,speedo na bic hata matangazo yake yashafutika kitambo saaaana
Hebu post current pictures of those places tuone hizo "mabadiliko"
 
meshindwa kucomment ila nazani ni watu hatujaeliwana kuhusu mfumo wa makazi kwenye hizi nchi mbili ni tofauti kidogo ndio maana kila mmoja ana tukana wenzie hapo kaloleni naona ni pazury ki huduma sema makazi ya watu ndio yanaaibisha hapo kaloleni ila hapo mbagala hapana mpangilio hio ni moja barabara nyingi upana mita tatu so ukipiga picha juuu sana utakuta huoni kabisa road ndio maana watakuambia zoom ili uone ukweli barabara za kwenye makazi bongo ni for one car kumove around na nyingine hata hilo moja linapita kwa shida ila ukienda apo apo mbagala utakuta nyumba duni ni za matofali hatakama hazijapigwa plasta pia utakuta hakuna uchafu to extent unlike sehemu nyingi duni zinazopostiwa hapa kibera na uchafu pia ni tatizo kwa io ukija ku conclude utagundua kaloleni iko arranged na inaonekana vizury ila wakazi wake hawajajiweza vizury bado ila mbagala makazi yapo randomly ila wakazi wake wamejitahidi kujiimarishia makazi yao yaonekane pia gharama kujenga dar n affordable sana maana mchanga ukichimba choo ndio huo utafytulia tofali nakathalika ndio makazi duni 99% dar utakuta yana kuta bora japo yako ajabu au finishing sio nzury mfano hio clip iliyoekwa apo n project ambazo zinaendelea baathi ya sehemu kwa ajili ya improvement of unplanned settlement chini ya dmdp unapunguza kwa percent fulani makazi ambayo hayajapangiliwa kwa kuongeza upana wa barabara na kuzi pave kisasa ili makazi yawe kwenye mpangilio japo bado hayataishaa ila kwa asilimia tutayapunguza ila nazani wote wa kaloleni na mbagala wanapata maji na umeme na kituo cha afya ivo vinatosha kudetermine kuwa n binadamu wanaishi vizury muonekano wa makazi yao usifanye tuwaite hawa wanakaa kwenye slum as if sio human being muhimu wanapata huduma za kijamii basi kwangu n juhudi zao ku prove makazi yao hata kama hayajapangiliwa mfano kama ningeweza kushauri mngeeka program ya vyoo na usafi kibera amina pangekuwa panavutia usingekumbuka wanaishi low income that all i can say

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijaelewa Ulimaanisha nini unaposema wakaazi wa Kaloleni hawajajiweza vizuri lakini wa Mbagala wanajiweza vizuri. Ningependa ufafanue hapo kidogo ili Nielewe zaidi. Mambo mengine yote umesema ni ya kweli. Hawa wenzako naamini wamesoma ulichokiandika
 
Huyo jamaa nic ni mjinga sana yaani hata kama unaishi maeneo hayo unaweza ukapakataa kutokana kwamba 2012-2019 kuna changes nyingi zimefanyika
Si basi mtuonyeshe hayo mabadikiko (aerials) ama mnaogopa nini? 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom