Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Af mkuu unapotupia picha weka ushahidi kuwa hyo ni Tz km WaTz wanapopost uchafu wa kenya lazima kuna proof itakuwepo mfano plate number za gari au sura za Mungiki ss n ww uwe unatupa proof tuamini kweli ni Tz unless tutaamini kwmb unaokota pcha Google
 
Nyinyi mnazoweka za Kenya mnatoa ushahidi gani? 😂 😂 😂
 
Af mkuu unapotupia picha weka ushahidi kuwa hyo ni Tz km WaTz wanapopost uchafu wa kenya lazima kuna proof itakuwepo mfano plate number za gari au sura za Mungiki ss n ww uwe unatupa proof tuamini kweli ni Tz unless tutaamini kwmb unaokota pcha Google
Kuna barabara kazipost hapo za miaka mingapi sijui iliyopita 😂😂😂
 
Ss jmn angalieni picha km hii aliyopost Nicminaj hyo nyumba ina tangazo la kalamu ya Bic af linaonekana ndo lilikuwa halina mda mrefu toka kuchorwa mana ake ni kitambo sn miaka 80's or 90's tofauti na picha anazopost ichoboy01 ni za moto moto kabisa yn za leo 27/12/2019
I was expecting that bongolala. Lazima tu mngetumia this old boring excuse of "90s". Kwa hivyo Bic siku hizi haziizwi madukani? Kwenu kila kitu kibaya ni ya 90s
 
hizi pic n za arusha kwa 100% ila most of them n 2015 au 2014 kwa mfano picha za mwisho ni uswahilini kwenda dampo ambako kuna change kubwa since io barabara hio unayoona imejengwa kwa lami afu mkuu pic zote ulizoleta n uswahilini engo sheratoni kwa umbali na ungalimited ambayo huku ni sawa na kibera nairobi n sehemu za watu wenye maisha duni tena kwa sasa kuko improved na project ya kuboresha unplanned streets ila still izo pic ni za kitambo sana sio kwa ushabiki ila ukweli nasema kuna than 12km of pavement zimejenga kwenye hio area through tcsp na road ni very standard na pia kuhusu uchafu unaouona umepungua sana kwa maana kumeongezwa gari za taka nyingi mitaa hiyo pia izo nailon unazoona zinatosha kukuzihirishia io n kitambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamjaikosa excuses. Those are Arusha and Mwanza pictures without doubt.

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna picha ya mwanza apo zote izo ni arusha angalia my comment utaelewa japo hapajawa improved 100% ila kwa sasa kuna mabadiliko mazuri mnoo japo hawatabomoa nyumba za watu ila wanaimprove barabara chache zilizopo na kuzimaintain pia kuweka miundombinu ya kuondoa flood kasome kwenye project ya tcsp world bank since 2014 io area imeanza badilishwa sana kuna road ya picha ya pili kutokea chini io road ni ungalimited to murieti imeanza jengwa 2015 chini ya tcsp so izo pic ni za kitambo kidogo

I like honest people like you. watu wanaosema ukweli bila kupumbazwa na uzalendo. Wenzako walishaanza kukana hizo picha Kama ilivyo desturi yao na kusema sio za Tanzania. Okay Nina Swali: picha alizoleta ichoboy za Kaloleni kisumu zilionyesha mtaa ambayo iko na lami hadi taa za barabara na imepangika tu vizuri na nyumba zilikuwa za block ila mkaziita slum. Nasema hivyo Kwa sababu Naona umetaja kwamba yale maeneo ya Arusha niliyoonyesha kuna mabadikiko makubwa na kwamba siku hizi kuna lami. So lami ni bora tu ikiwa Kwenu ila ikiwa kwenye mitaa zetu hazina umuhimu wowote? Ile Kaloleni alioonyesha ichoboy ni bora kushinda Mitaa nyingi sana hata kule Dar ila huku mnaziita slum
 
hakuna picha ya mwanza apo zote izo ni arusha angalia my comment utaelewa japo hapajawa improved 100% ila kwa sasa kuna mabadiliko mazuri mnoo japo hawatabomoa nyumba za watu ila wanaimprove barabara chache zilizopo na kuzimaintain pia kuweka miundombinu ya kuondoa flood kasome kwenye project ya tcsp world bank since 2014 io area imeanza badilishwa sana kuna road ya picha ya pili kutokea chini io road ni ungalimited to murieti imeanza jengwa 2015 chini ya tcsp so izo pic ni za kitambo kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna picha za mwanza nilileta kabla ya hizo za Arusha. Pitia kurasa za nyuma
 
I like honest people like you. watu wanaosema ukweli bila kupumbazwa na uzalendo. Wenzako walishaanza kukana hizo picha Kama ilivyo desturi yao na kusema sio za Tanzania. Okay Nina Swali: picha alizoleta ichoboy za Kaloleni kisumu zilionyesha mtaa ambayo iko na lami hadi taarifa za barabara na imepangika tu vizuri na nyumba zilikuwa za block ila mkaziita slum. Nasema hivyo Kwa sababu Naona umetaja kwamba yale maeneo ya Arusha niliyoonyesha kuna mabadikiko makubwa na kwamba siku hizi kuna lami. So lami ni bora tu ikiwa Kwenu ila ikiwa kwenye mitaa zetu hazina umuhimu wowote? Ile Kaloleni alioonyesha ichoboy ni bora kushinda Mitaa nyingi sana hata kule Dar ila huku mnaziita slum
Narudia tena hakuna aliyakana zaidi ya kukuambia hayo maeneo yalishachange kitambo,
Lakini cha ajabu siku nyingine utarudia tena kuzipost hizo picha 😂😂😂
 
Hapo juu nimeona umejibiwa vizuri sana,
Ingependeza sana na nyie mkawa mnatoa comment zilizonyooka vizuri kama hiyo hapo juu.
You were one of the people waliikana eti hizo sio picha za Arusha wala Tanzania. what has changed now?
 
Back
Top Bottom