Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You were one of the people waliikana eti hizo sio picha za Arusha wala Tanzania. what has changed now?
Fuatilia comment zangu kisha nioneshe nilipo kana,
Kuhusu kuchange ushapewa jibu zuri sana hapo juu.
 
Hehehe, nilisikia wauganda wanapenda ANY TIME CANCELLATION LIMITED(ATCL)? Ama siku hizi ile mitumba yenyu haiendi Entebbe?

The Uganda Sand Cranes at the Julius Nyerere International Airport ready to board Kenya Airways via Nairobi & expected to arrived at Entebbe International Airport 19.50. FUFA on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena hakuna aliyakana zaidi ya kukuambia hayo maeneo yalishachange kitambo,
Lakini cha ajabu siku nyingine utarudia tena kuzipost hizo picha 😂😂😂
Nishawazoea. didn't ichoboy say naokota picha Google na kusema ni za Arusha?
 
Unawachanganya watu kwa kupenda kuokota okota picha za maeneo ambayo yamekwisha change,
Kwanini unapenda kupost picha ya maeneo yalio kwisha badilika?
Mwenzako alisema hizo picha sio za Arusha. Get my point. And by the way, can you show us the current status of those places kabla ya kutuonyesha za kisumu?
 
Mwenzako alisema hizo picha sio za Arusha. Get my point. And by the way, can you show us the current status of those places kabla ya kutuonyesha za kisumu?
Amezikataa kwa sababu una tabia ya kuokota okota picha ya maeneo ambayo yalikwisha badilika sijui kwanini huwa unapenda kupanic ovyo ovyo 😂😂😂
Hapo juu umeleweshwa vizuri lakini najua siku nyingine utarudia kosa hilo hilo.
 
Unawachanganya watu kwa kupenda kuokota okota picha za maeneo ambayo yamekwisha change,
Kwanini unapenda kupost picha ya maeneo yalio kwisha badilika?
And then tuonyeshe pia na the current status za hizi sehemu za Dar (aerial views) kwa sababu kila kitu kibaya kwenu ni cha 90s
gettyimages-169758289-612x612.jpg
Screenshot_20191003-212551.png
tapatalk_1567199234954.jpeg
manzese980d6ac60f714237b61d83162fdc3f0resize750.jpeg
PhotoGrid_1576093364872.jpg
PhotoGrid_1576093166214.jpg
 
Oooh my GOD,it seems kenya kuna umasikini mbaya sana,look at the salon,ati kwenye hiyo kibanda nayo scrub hufanyika!!🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
 
I like honest people like you. watu wanaosema ukweli bila kupumbazwa na uzalendo. Wenzako walishaanza kukana hizo picha Kama ilivyo desturi yao na kusema sio za Tanzania. Okay Nina Swali: picha alizoleta ichoboy za Kaloleni kisumu zilionyesha mtaa ambayo iko na lami hadi taa za barabara na imepangika tu vizuri na nyumba zilikuwa za block ila mkaziita slum. Nasema hivyo Kwa sababu Naona umetaja kwamba yale maeneo ya Arusha niliyoonyesha kuna mabadikiko makubwa na kwamba siku hizi kuna lami. So lami ni bora tu ikiwa Kwenu ila ikiwa kwenye mitaa zetu hazina umuhimu wowote? Ile Kaloleni alioonyesha ichoboy ni bora kushinda Mitaa nyingi sana hata kule Dar ila huku mnaziita slum
Sasa uwe unaona aibu unaposti picha za mwaka 2012,leo hii kuna mabadiliko makubwa sana ndo watu wanashindwa kukubali kama ni Arusha kweli,speedo na bic hata matangazo yake yashafutika kitambo saaaana
 
Unawachanganya watu kwa kupenda kuokota okota picha za maeneo ambayo yamekwisha change,
Kwanini unapenda kupost picha ya maeneo yalio kwisha badilika?
Huyo jamaa nic ni mjinga sana yaani hata kama unaishi maeneo hayo unaweza ukapakataa kutokana kwamba 2012-2019 kuna changes nyingi zimefanyika
 
Back
Top Bottom