meshindwa kucomment ila nazani ni watu hatujaeliwana kuhusu mfumo wa makazi kwenye hizi nchi mbili ni tofauti kidogo ndio maana kila mmoja ana tukana wenzie hapo kaloleni naona ni pazury ki huduma sema makazi ya watu ndio yanaaibisha hapo kaloleni ila hapo mbagala hapana mpangilio hio ni moja barabara nyingi upana mita tatu so ukipiga picha juuu sana utakuta huoni kabisa road ndio maana watakuambia zoom ili uone ukweli barabara za kwenye makazi bongo ni for one car kumove around na nyingine hata hilo moja linapita kwa shida ila ukienda apo apo mbagala utakuta nyumba duni ni za matofali hatakama hazijapigwa plasta pia utakuta hakuna uchafu to extent unlike sehemu nyingi duni zinazopostiwa hapa kibera na uchafu pia ni tatizo kwa io ukija ku conclude utagundua kaloleni iko arranged na inaonekana vizury ila wakazi wake hawajajiweza vizury bado ila mbagala makazi yapo randomly ila wakazi wake wamejitahidi kujiimarishia makazi yao yaonekane pia gharama kujenga dar n affordable sana maana mchanga ukichimba choo ndio huo utafytulia tofali nakathalika ndio makazi duni 99% dar utakuta yana kuta bora japo yako ajabu au finishing sio nzury mfano hio clip iliyoekwa apo n project ambazo zinaendelea baathi ya sehemu kwa ajili ya improvement of unplanned settlement chini ya dmdp unapunguza kwa percent fulani makazi ambayo hayajapangiliwa kwa kuongeza upana wa barabara na kuzi pave kisasa ili makazi yawe kwenye mpangilio japo bado hayataishaa ila kwa asilimia tutayapunguza ila nazani wote wa kaloleni na mbagala wanapata maji na umeme na kituo cha afya ivo vinatosha kudetermine kuwa n binadamu wanaishi vizury muonekano wa makazi yao usifanye tuwaite hawa wanakaa kwenye slum as if sio human being muhimu wanapata huduma za kijamii basi kwangu n juhudi zao ku prove makazi yao hata kama hayajapangiliwa mfano kama ningeweza kushauri mngeeka program ya vyoo na usafi kibera amina pangekuwa panavutia usingekumbuka wanaishi low income that all i can say
Sent using
Jamii Forums mobile app