komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Ilete wenzako pia waione[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niogope ujinga,
Nimetafuta hiyo link nimeisoma yote,
Kwanini umecrop sehemu waliyo andika asilimia za watu wanoishi kwenye umasikini kenya,
Ulidhani mimi ni mjinga eeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni juhudi zetu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app