Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jesus! What kind of illiterate pigs are they keeping up north? Kwa hiyo kwenye CBD hakuwezi kuwa na partments za watu kuishi? Au unaelewa hata maana ya residential kweli wewe?
Thats why nikasema nairobi ni mji tofauti sana east and central africa...
Tatizo hamsomi mkaelewa kwanza, ukurupukaji mbaya jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂 😂 😂 😂 😂 🙌 Jesus! What kind of illiterate pigs are they keeping up north? Kwa hiyo kwenye CBD hakuwezi kuwa na partments za watu kuishi? Au unaelewa hata maana ya residential kweli wewe?
That's why we saying Nairobi is different. If you have them down there must we have them up here?
 
Wala sijakurupuka, we ni elimu ndio inakusumbua kidogo. Katafute google kama hakuna apartments in downtown Nairobi halafu utaniambia
Since you know where they are, si you just make it easier for both of us by showing us where they are 😂 😂 😂
 
Acha upumbavu wewe, point hapa ni kwamba, hizo barabara ni " part of Nairobi down town" kama ilivyo " Samora avenue " huku Dar. Haya maeneo sio maeneo ya low income group, iwe ni shopping, restaurants, au Working areas, these areas belong to middle income population ", acheni kutoka nje ya mada. Nairobi ni hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nicxie..achana nae hyo...
Nairobi ni mji tofauti sana East and central africa...
Kamwe huwezi kuta residentials cbd

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ujinga ninyi, hayo maeneo yote hapo kuna activities zinaendelea, iwe ni ofisi, mahoteli, viwanda, au biashara, watu wanaohusika katika hayo maeneo ni " middle class au upper class ". Usitegemee lower class citizen kwenda kufanya shopping, au kwenda kula chakula ktk restaurant hapo Moi avenue. Ninyi kwa akili zenu pungufu mnafikiri low class area lazima iwe ni residential, wajinga sana ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mnalialia kama watoto wanaotaka kunyonya!! Lini nyie mlituma picha nzuri za Tz? Kama mnaweza na nyie njooni Tz mpige picha kadri mtakavyo jisikia. Kuna boya mwenzenu alikuja Dar akasema atatuma picha Ila alikosa sehemu mbaya hakutuma ata picha moja! Mtu aje kwa cost zake halafu mnampangia cha kufanya, Ichoboy endelea kuminya mapumbu yao, tutumie na uchafu wa stendi ya mabus hapo Kisumu.

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jesus! What kind of illiterate pigs are they keeping up north? Kwa hiyo kwenye CBD hakuwezi kuwa na partments za watu kuishi? Au unaelewa hata maana ya residential kweli wewe?
Hawa jamaa hawana akili kabisa, wabadhani sehemu ikiwa low au middle income lazima iwe ni "residential", hawana akili hawa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thats why nikasema nairobi ni mji tofauti sana east and central africa...
Tatizo hamsomi mkaelewa kwanza, ukurupukaji mbaya jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi ni tofauti kutokana na
1)Unemployment rate
2)Crime
3)Disorganized
4)Cholera outbreaks
5)Slums
6)Dirty
7)Poor public transportation
9)Water scarcity
10)Poor condition of its riads

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom