Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa sisi kwenye 100 tunao wa3
It's crystal clear you can read but you can't comprehend anything. That report talks about people living in extreme poverty as share of world total.
It's not about the total number of people living in extreme poverty in a given country against the the total population of that country. It's about people living in extreme poverty in a given country as a share of the total number of people living in extreme poverty worldwide na hapo mnachangia asilimia tatu ya hiyo idadi. Kiufupi ni kwamba kati ya watu Mia moja who live in extreme poverty worldwide, kuna watanzania watatu​
Mbona mambo rahisi hivi mnashindwa kuelewa?​
Je wewe kunyaland kwenye 100 mnao wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtu amesema hatuna people living in extreme poverty ila idadi yetu ni ndogo ikilinganishwa na yenu ndio maana hatujawekwa kwenye hiyo list ya top ten.
Eti ndogo 😂😂😂 nani kakuambia,
Hivi unajua kenya ni asilimia ngapi na Tanzania ni asilimia ngapi 😂😂😂
Hivi unajua kuwa Tanzania ndio inaongoza ukanda huu kwa kufanikiwa kupunguza umasikini.
 
Hivi wewe una akili kweli?, huyo mwenzenu katika hiyo video yake ndiye amesema kwamba " Leo ninaenda kufanya video ya "down town", kwanini msiweke " comments " katika hiyo video yake kumuambia kwamba hayo maeneo sio " down town " asiwachanganye " subscribers" wake?.

Ninyi wakenya ni watu wa ajabu sana, ukisoma " comments " ktk hiyo video, hakuna hata mkenya mmoja aliyekosoa, wote wamekubaliana naye. Kwahiyo ninyi hapa JF, ndio wenyekuijua Nairobi kuliko yeye?, acheni ujinga wa kujifanya mnajua zaidi ya wengine.

Niwaambie ukweli, tabia hii ya kujifanya wajuaji kuwazidi wengine, ndio inayowafanya msielewane wenyewe kwa wenyewe, na pia msielewane na nchi jirani, unadhani huyo jamaa atajisikiaje akijua kama wakenya wenzako wanasema haijui Nairobi?. Kamwe hamuwezi kuelewa na nchi yoyote hapa Afrika ninyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
So his words are gospel truth because he is a vlogger?
 
Mkenya Akiona hivi da!!
Screenshot_20191226-203207_1577381567886.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom