Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_20191227_091459.jpg
IMG_20191227_091423.jpg
IMG_20191227_091412.jpg
 
Hooo wakenya wasomi wakenya wasomi cha kushangaza haya maswali mawili wanashindwa kunipatia Jibu
1) zimebaki siku ngapi kufika mwakani
2) A NUMBER OF SLUM IN KENYA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mna tu overtake sio
Asante sana kw kujua km bado mko nyuma yetu...mpka mnawaza ku tu overtake, hyo ni dalili tosha ya kwmaba mnapiga domo bure ila ukwel mnautambua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du mbona kadogo hivyo mm nilijua kelele za Westland ni mji kama km10 kutoka cbd arafu wanakuja kubisha hapa kuwa nai ni kubwa kuliko dar pumbavuu sana ndiyo maana sijawai kusikia MTU kapotea Nairobi ila hapa dar wakija wanapotea kila siku unakuta mkenya yupo dar Kwa miaka 10 ila bado anapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa dar ina nn, ukubwa wa bure tu...westlands ni kubwa kuliko kariakoo, posta, upanga...

Halafu ukotoa hayo maeneo kwngine kote ni vijiji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwhyo unakataa km EA tanzania ndio inaongoza kw idadi ya watu maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeberu wanajaribu kukubebeni wakenya Kwa kuonyesha kuwa MNA Akili kuwasujudia wao dhidi ya tz ila hata nao wanaona aibu maana ukweli upo wazi kabisa maisha ya watz ni mazuri na mepesi Mara 3 ya Kenya wewe subiri mwakani kama ninavyo waambia mtauona ukweli Kwa macho yenu maana hao wazungu lazima wakakubali wenyewe kuwa tz is great

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda screenshot yote ipost hapa bila kucrop kitu,
Ukibishana na mimi hakikisha una tumia akili na sio makwapa.
Bwahahaaa!!umeshindwa ku screenshot mwenywehyo hapo world bank wameweka mpaka 2016
Screenshot_20191227-111328_Samsung%20Internet.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mna tu overtake sio
Asante sana kw kujua km bado mko nyuma yetu...mpka mnawaza ku tu overtake, hyo ni dalili tosha ya kwmaba mnapiga domo bure ila ukwel mnautambua

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimesema "overtake "
Tunataka tuwaovertake wachinya na mabeberu wanao imiliki Kenya nyinyi wakenya wazawa amjawai kuwa juu ya tz hata siku moja Kwa sababu kile mkenya chenye mnamiliki ni slum tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom