Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwahahaaa!!umeshindwa ku screenshot mwenywehyo hapo world bank wameweka mpaka 2016View attachment 1304570

Sent using Jamii Forums mobile app
Kubishana na mjinga kama wewe kazi kweli kweli,
Nimekupa link kabisa ili wajinga wenzako wasome pia,
Sijakutuma uniletee bar graph hapa,
Soma hiyo article walipoandika asilimia za wakenya wanaoishi kwenye umasikini na uache ubishi wa kijinga.
 
Wapi nimesema "overtake "
Tunataka tuwaovertake wachinya na mabeberu wanao imiliki Kenya nyinyi wakenya wazawa amjawai kuwa juu ya tz hata siku moja Kwa sababu kile mkenya chenye mnamiliki ni slum tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo ndio sisiemu inawambia? 😂 😂 😂 Mtateseka sana juu ya Kenya ila number mtazidi kusoma
 
Nenda screenshot yote ipost hapa bila kucrop kitu,
Ukibishana na mimi hakikisha una tumia akili na sio makwapa.
Niletee yenu ya urban na rural tucheke...
Ya kenya nmesha screenshot, graph ya world bank mpka 2016 na inaonyesha rural na urban poverty..lete graph ya tanzania sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubishana na mjinga kama wewe kazi kweli kweli,
Nimekupa link kabisa ili wajinga wenzako wasome pia,
Sijakutuma uniletee bar graph hapa,
Soma hiyo article walipoandika asilimia za wakenya wanaoishi kwenye umasikini na uache ubishi wa kijinga.
Si graph ndio inasema kila kitu...national, urban na rural poverty mpka 2016...na hyo yote ilishuka mbio hvo after develotuion, world bank wenyewe wameshadaisha by 2030 tukiimarisha sector mhimu sehemu za northern kenya...umaskini bye bye, bora serikali itilie mkazo north eastern na mijini pia ifanye kidogo marekebisho katika sera zao

Even at the county level, reduction in poverty has been disparate. The North- and North-Eastern counties (commonly referred to as NEDI counties) are suffering from high and stagnating poverty rates, at around 68% in 2015-16, and they require a multisectoral effort to raise the living standards. For this part of the country, lack of proper access to basic services can have long-term consequences, particularly in building human capital, if nothing is done. Educational enrollment rates are far below the national average, especially at the secondary level. Health care access and utilization indicators are also very low compared to the rest of Kenya. Vaccination rates in some NEDI counties reach only about 40% compared to more than 90% in the Central province. Limited access to health care coupled with extremely high fertility rates results in the highest maternal mortality rates of the country. A child in NEDI counties is likely to be born poor and remain in poverty, without being able to develop their productive potential.

[https://blogs]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niletee yenu ya urban na rural tucheke...
Ya kenya nmesha screenshot, graph ya world bank mpka 2016 na inaonyesha rural na urban poverty..lete graph ya tanzania sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna aliekutuma graph,
Kwanza

Umescreen shot ambacho sijakutuma,
Umeona walipoandika asilimia za wakenya wanaoishi kwenye umasikini au pale umeparuka kama hujapaona yaani kama hapa unavyohamisha mada,
 
Graph imemaliza kila kitu jomba...yani kufikia 2016 imeeleza kila kitu, na jua unapakimbia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubari kuwa sisi ni masikini Kwa kutokuwa na slum mob na kutokufikia uchumi wa kunya kwenye mifuko kisha kuflytoilet

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiii!!si umeumia sana...
Mwenzenu ichoboy kakoma kupiga picha za kaloleni slum tu...anaogopa kupiga za cbd na maeneo ya middle income ju anaogopa...

Anataka mubaki gizani..endeleeni kubaki gizani tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Victoria hapo,km 8 toka cbd,huko kwenu mtr 200 toka cbd unaanza kukutana na slumsView attachment 1304344

Sent using Jamii Forums mobile app
Of course we all know the mess behind those buildings. Dream houses everywhere 😂 😂
2240591_tapatalk_1567843207504.jpeg
PhotoGrid_1566596636957.jpg
 
Si graph ndio inasema kila kitu...national, urban na rural poverty mpka 2016...na hyo yote ilishuka mbio hvo after develotuion, world bank wenyewe wameshadaisha by 2030 tukiimarisha sector mhimu sehemu za northern kenya...umaskini bye bye, bora serikali itilie mkazo north eastern na mijini pia ifanye kidogo marekebisho katika sera zao

Even at the county level, reduction in poverty has been disparate. The North- and North-Eastern counties (commonly referred to as NEDI counties) are suffering from high and stagnating poverty rates, at around 68% in 2015-16, and they require a multisectoral effort to raise the living standards. For this part of the country, lack of proper access to basic services can have long-term consequences, particularly in building human capital, if nothing is done. Educational enrollment rates are far below the national average, especially at the secondary level. Health care access and utilization indicators are also very low compared to the rest of Kenya. Vaccination rates in some NEDI counties reach only about 40% compared to more than 90% in the Central province. Limited access to health care coupled with extremely high fertility rates results in the highest maternal mortality rates of the country. A child in NEDI counties is likely to be born poor and remain in poverty, without being able to develop their productive potential.

[https://blogs]

Sent using Jamii Forums mobile app
Chaubishi hapa mbona hujapacopy 😂😂😂

This growth translated into gains in the fight to reduce poverty, with about 4.5 million Kenyans escaping poverty. Poverty measured under the national poverty line declined from 46.8% to 36.1% of the population. However, a closer look shows that not every segment of the population benefited from this impressive growth.
 
Graph imemaliza kila kitu jomba...yani kufikia 2016 imeeleza kila kitu, na jua unapakimbia hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Graph inaoneshe mwenendo namna umasikini unavyopungua lakini wewe nashangaa kwa upande wa asilimia za wanaoishi kwenye umasikini unazikimbia Chaubishi.
Umekubali kuwa kenya ina asilimia kubwa ya watu wanaoishi kwenye umasikini au bado unajitutumua kubisha.
 
Chaubishi hapa mbona hujapacopy

This growth translated into gains in the fight to reduce poverty, with about 4.5 million Kenyans escaping poverty. Poverty measured under the national poverty line declined from 46.8% to 36.1% of the population. However, a closer look shows that not every segment of the population benefited from this impressive growth.
Ilete yote hyo ripoti tuisome...
Mbna unakimbia facts za world bank

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Graph inaoneshe mwenendo namna umasikini unavyopungua lakini wewe nashangaa kwa upande wa asilimia za wanaoishi kwenye umasikini unazikimbia Chaubishi.
Umekubali kuwa kenya ina asilimia kubwa ya watu wanaoishi kwenye umasikini au bado unajitutumua kubisha.
Graph inasema mpka 2016...
2017, 2018 na 2019 hakuna...

Sasa wewe niletee graph ya kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilete yote hyo ripoti tuisome...
Mbna unakimbia facts za world bank

Sent using Jamii Forums mobile app
Ripoti yote hata hicho kajisehemu niliyocopy ipo kwenye hii link acha ubishi wa kijinga.

Back
Top Bottom