Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_20191226_212800.jpeg
IMG_20191226_212904.jpeg
IMG_20191226_212803.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti ndogo [emoji23][emoji23][emoji23] nani kakuambia,
Hivi unajua kenya ni asilimia ngapi na Tanzania ni asilimia ngapi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unajua kuwa Tanzania ndio inaongoza ukanda huu kwa kufanikiwa kupunguza umasikini.
Sasa leta hzo data za world bank kenya na tanzania tulinganishe idadi ya maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
World bank wanaongelea kuhusu nynyi, lkn tukichanganya EA mnaongoza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ya 20q9 hyo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1304320

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mbona umescreen shot nusu 😂😂😂 mbona umecrop sehemu walipo andika asilimia za watu wanoishi kwenye umasikini.
Mkifikia huku ndo mje kubishana hapa.

 
Hii mbona umescreen shot nusu [emoji23][emoji23][emoji23] mbona umecrop sehemu walipo andika asilimia za watu wanoishi kwenye umasikini.
Mkifikia huku ndo mje kubishana hapa.

Bwahahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekwambia km huamini lete data za world bank afrika nzima tulinganishe...
Mbna unaogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwahahaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekwambia km huamini lete data za world bank afrika nzima tulinganishe...
Mbna unaogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
Niogope ujinga,
Nimetafuta hiyo link nimeisoma yote,
Kwanini umecrop sehemu waliyo andika asilimia za watu wanoishi kwenye umasikini kenya,
Ulidhani mimi ni mjinga eeh 😂😂😂

Ni juhudi zetu tu.

 
Back
Top Bottom