Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,839
- 103,698
Bado ni kati zile hospitali zenu boraHahahaha, sikiliza vizuri hii video, sidhani kama utalinganisha tena Tanzania na Kenya katika Huduma za Afya.
Sent using Jamii Forums mobile app



Tuonyeshe makaazi ya watu wa kipato cha kati dar...View attachment 1301168View attachment 1301170View attachment 1301173View attachment 1301174View attachment 1301175View attachment 1301179
BONGE MOJA LA TOURIST DESTINATION. Njoo Kenya uje ujionee.The biggest slum in EA.utapata tour guide na experience hauto pata sehemu yoyote Africa. Kenya the best slum destination in africa and the world. Come and help the poo
r because Kenya depends on it. Hio ni advertisement


Naona umelidhika na mabanda yenu,rahal mustarehe.Hizo nyumba mnazo kazania uswazi ni nyumba za chini sana huku Dar,sasa twende NairobiThe problem is that you are comparing Nairobi slums with your ordinary estates where 70-80% of the people live. See the difference? Outside slum areas, Nairobi is an organized city with decent houses something that can't be said of Dar where there are dream houses everywhere. Continue comparing Nairobi slums with Dar estates 😂 😂 😂
Wakoloni waliijenga nairobi lini...Wakati wkoloni wakiwajengea Nairobi Dar ilikua imeachwa.watu wamekuja kitambo na kusettle.watu wameishi miaka na mika.Serekali ilivyo ingia haikufuatilia mambo ya mipango miji. kwa sababu kunawatu wengi kwenye maeneo ambayo hayajapangwa haimanishi kwamba dar haijapangwa.lakini nairobi nikitu different maeneo ambayo hayaja pangwa ni mahali kama mabanda ya ndege. na pia huko mtu awezi aka stahmili kujenga huku zipo hizo estate unazo linganazo lakini watu hawapendelei hizo estate wanataka kujenga wenyewe lakini huko kwenu lazima anunue ama apange kwenye gorofa zilizo banana kama hakuna ardhi
Endelea kulinganisha dar na kibera tuMagical Kenya,where stars falls in NAIROBIView attachment 1301434View attachment 1301437 Want to see them for yourself visit Kenya where slums counts View attachment 1301441View attachment 1301442 MAGICAL KENYA.Remember Help the poor because Kenya depends on it





Uswazi ndio mnacho jua basi ni oneshe sehemu ambako kuko loow dar kama kibera nairobi ama slum nyingine huko ipo kama nanzese.Hivi hizo slums kwen kwenu ni invisible ama
Bado ni kati zile hospitali zenu bora
Wacha kujisumbua hapa, hamna vifaa vya maana katika hospitali zenu kando na zile tano bora
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu nlikuwa nakula aysee sema nmekaza tuuMagical Kenya,where stars falls in NAIROBIView attachment 1301434View attachment 1301437 Want to see them for yourself visit Kenya where slums counts View attachment 1301441View attachment 1301442 MAGICAL KENYA.Remember Help the poor because Kenya depends on it
Wakoloni waliijenga nairobi lini...
Halafu tuletee hzo middle class estates tuzione hapa...
Nakwambia leo utakimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Namuona apo mkuu komora096 akionyeshanjiaNaona umelidhika na mabanda yenu,rahal mustarehe.Hizo nyumba mnazo kazania uswazi ni nyumba za chini sana huku Dar,sasa twende Nairobi View attachment 1301531 Dampo sio dampo uchafu si.uchafu ina onesha kwamba mwananchi maskini wa kenya hawawezi kumiliki nyumba baliView attachment 1301534 Sjui mnaviitaje huko lakini sisi tuna viita mabanda ya kuku


Full of excuses as always. Typical of bongalalas. Wakati wazungu "wakijenga Nairobi" huko kwenu walikuwa wakifanya nini? Je, hamkutawaliwa na wazungu jinsi walivofanya Kenya? Mbona wazungu waliamua Kujenga Nairobi na kuwacha Dar? These are the kind of excuses you give everytime you can't provide explanations for vaurious problems that ail your country. Nairobi ni juhudi za wakenya, ni jiji ambalo limejengwa na wakenya. Angalia picha za Nairobi za kabla ya Uhuru na za wakati huu kisha uniambie wazungu walijenga Nairobi Kivipi. Kila siku mbaazi ikikosa matunda husingizia jua, and that's exactly what you are doing.Wakati wkoloni wakiwajengea Nairobi Dar ilikua imeachwa.watu wamekuja kitambo na kusettle.watu wameishi miaka na mika.Serekali ilivyo ingia haikufuatilia mambo ya mipango miji. kwa sababu kunawatu wengi kwenye maeneo ambayo hayajapangwa haimanishi kwamba dar haijapangwa.lakini nairobi nikitu different maeneo ambayo hayaja pangwa ni mahali kama mabanda ya ndege. na pia huko mtu awezi aka stahmili kujenga huku zipo hizo estate unazo linganazo lakini watu hawapendelei hizo estate wanataka kujenga wenyewe lakini huko kwenu lazima anunue ama apange kwenye gorofa zilizo banana kama hakuna ardhi
ambacho ni world class ni
Tanzania kwa Africa tunazidiwa na South Africa tu, na ni kwasababu wao wameshafanya " Cardiac transplant ", Tanzania tunategemea kufanya " Cardiac transplant" ndani ya miaka mitano toka sasa hivi. Katika tiba ya MOYO, hata Egypt haifikii Tanzania. Wakenya wamejaa hapa "Jakaya Kikwete Cardiac Institute unawaza fikiri ni watanzania.