Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Things that they will never show here 😂 😂

Tanzanians account for 3% of the total number of world's poorest people! Na ile kelele inapigwa hapa!!! 🤣 🤣

Ule wimbo wa "pesa za ndani" ilitungwa na nani? 😂 😂 😂
 
Mbona sa kama vile unajiabisha

Kwani ulivyoambiwa tz wako na 3% umeelewaje
Things that they will never show here [emoji23] [emoji23]

Tanzanians account for 3% of the total number of world's poorest people! Na ile kelele inapigwa hapa!!! [emoji1787] [emoji1787]

Na utasema hizo stats ni uongo au zimepikwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Please go to twitter then search Pipeline Estate, you will get both after and before upgrading

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana ni barabara moja, lakini haya maeneo hayafanani, inaeezekana ni upande wa pili wa mtaa huo huo mmoja. Ulipaswa ulete picha zinazofanana ili kuthibitisha kama ni sehemu ileile. Mtaa unaweza kuwa mkubwa, au barabara inaweza kuwa ndefu sana. Tafadhali thibitisha kwamba lile eneo limetengenezwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna haja ya ubishi, that's the same place. Look at the arrangement of the buildings.

Wewe ni ovyo kimawazo., that is part of lower areas, kama Githurai 44, 45, Kahawa west., Umoja 1, Kayole etc., kwenyu hapo ni level ya juu kiasi.., hapo ni kwa ma hustler hapa Kenya., middle income ungeweka South B, South C, Lang'ata, Ngumo, pangani Kileleshwa(not all, kuna upper guys huku ), etc., Dar ni village (ushamba kibao, hiusing village type., za 1950s).,

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha ujinga wewe, Nairobi tunaijua vizuri sana, hizi sehemu na barabara alizopitia ndio "Down town" ya Nairobi, ukizungumzia Tom Mboya na Moi Avenue ni sawa na kuzungumza Samora Avenue huku Dar. Wewe umeona wapi rais wa nchi jina lake likatajwa mtaa dini?, huko ni kumdhalilisha sana.

Tom Mboya na MZEE Moi ni watu wenye kuheshimika sana Kenya, hawawezi kupewa mitaa duni. Huyo Vlogger ni Mkenya, na anasema anaenda "Down town", ina maana Kenya " down town" wanaishi watu wa hali ya Chini?, kama hapo wanaishi watu wa kipato duni, Kibera mtasema wanaishi nani?, acha ujinga wako. Nairobi is shithole city.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sa kama vile unajiabisha

Kwani ulivyoambiwa tz wako na 3% umeelewaje Na utasema hizo stats ni uongo au zimepikwa

Sent using Jamii Forums mobile app
I know you are dumb so let me break it down for you in simple terms. Inamaanisha ya kwamba ukihesabu idadi ya watu wote wasikini duniani, watanzania huchangia asilimia tatu ya hiyo Hao watu. Kiufupi, Kati ya watu 100 masikini duniani (extreme poverty), kuna watanzania watatu. Umeelewa sasa
 
Hakuna haja ya ubishi, that's the same place. Look at the arrangement of the buildings.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka, hiyo barabara inaweza kuwa ndio ni moja, lakini ikawa ni ndefu, bado haihajengwa yote, au ikawa ni mtaa wa pili, mahengo ni Yale Yale lakini ni mtaa wa nyuma yake.

Kumbuka hata rangi ya majengo haifanani, hii inamaanisha sio majengo Yale yake, "arrangement" ya majengo haimaanishi kwamba " is the same place ". Bado unapaswa kuthibitisha kwamba lile eneo lilitengenezwa.

In short sio barabara hiyohiyo!
 
Wacha ujinga wewe, Nairobi tunaijua vizuri sana, hizi sehemu na barabara alizopitia ndio "Down town" ya Nairobi, ukizungumzia Tom Mboya na Moi Avenue ni sawa na kuzungumza Samora Avenue huku Dar. Wewe umeona wapi rais wa nchi jina lake likatajwa mtaa dini?, huko ni kumdhalilisha sana.

Tom Mboya na MZEE Moi ni watu wenye kuheshimika sana Kenya, hawawezi kupewa mitaa duni. Huyo Vlogger ni Mkenya, na anasema anaenda "Down town", ina maana Kenya " down town" wanaishi watu wa hali ya Chini?, kama hapo wanaishi watu wa kipato duni, Kibera mtasema wanaishi nani?, acha ujinga wako. Nairobi is shithole city.

Sent using Jamii Forums mobile app
First and foremost, people don't live in downtown Nairobi. It's part of the city center and mostly comprises of commercial buildings and starts at Tom Mboya street all the way to River Road and slightly beyond. There are very few offices in downtown, if any.

Nairobi sio kama Dar where people live and work in the cbd like it happens in karioakoo. Unless Nairobi has two downtowns different from the one I know, then you and your vlogger might be right. The shithole city is the one where people live in the cbd and doesn't have even the simplest things like a sewer system! I hope you know which city am talking about
 
Back
Top Bottom