Hivi wewe unazungumza nini?, Magufuli amevunja NYUMBA na jengo refu la serikali pale Ubongo hadi wamarekani wamelalamika.
Acha kujiabisha kwa kuzungumza mambo kwa ushabiki. Kama kuna nchi hapa barani Afrika ambayo sheria za ujenzi hazifuatwi, Kenya inaongoza. Huna aibu eti unaipongeza Kenya Kenya kwamba wapo serious?, are you mad?.
Kenya majumba yanaporomoka kila wiki na kuuwa makumi kwa mamia ya wakenya, bado unasema wako "serious", hivi wewe kichwa chako ni timamu kweli?.
Sent using
Jamii Forums mobile app