Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I though hamtegemei waChina? our very wealthy neighbors. Kwanza umekuwa wapi? CCM hawakulipa za Christmas? weka number data ikiisha nakuskumia kitu
Unlike in Kunyaland where they rip apart every chance to milk ur SGR in Tanzania they come to spend their chingching! Now aside a bed per night we will chop their airfare, their expenditure on souvenir plus their stay in Tanzania! They will no more come to Tanzania via Kunyaland! Compris mon Ami? Compreendao meu Amigo?
 
Bado Kenya inaendelea kuagiza nguzo za UMEME toka Tanzania, hizo za zege kwasasa ni kwa ajili ya "High voltage lines", Kenya tunaijua vizuri sana, tumeitembea sana kuliko ninyi wenyewe, acha kutudanganya. Unajua vigezo vya kutumia nguzo za zege au unapiga kelele uonekane mjuaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu tu...watu walitoka kitambo hko
Nguzo za miti karne hii aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sizungumzii ubora wa majengo yanayojengwa Nairobi au Kenya kijumla

Na wala sizungumzii kuhusu kubomolewa nyumba Morogoro Road kuanzia Kimara hadi Kibamba wala jengo la Tanesco, la hasha

Hapa nazungumzia hatuna sheria za maana za kukomesha ujenzi wa makazi holela kama haya yaliyopo Manzese, Tandale, Mwananyamala, Mbagala, Tandika, Keko n.k

Ni vile kila mtu akipata pesa ananunua kiwanja anajenga bila kufuata utaratibu wowote wa mipango miji, hili nchini kwetu ni tatizo

Hali ni tofauti na Kenya, penye ukweli lazima tuseme hizo slums wako nazo wana hali ngumu kweli kuliko hizi sehemu zetu za uswazi... Nyumba zilizopo uswazi kwetu ni bora kuliko zilizopo kwenye slums zao

Ila ukitoka nje ya hizo slums hukuti typical character za akina Manzese, Tandale, Tandika na Keko zaidi ya kukuta Estates na Gated Community za maana

Issue ya makazi kwao nyang'au ziko serious sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa soda kaka, naja kulipa...
Ukwel lazima usemwe bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WATALII 500 KUBEBWA NA AIR TANZANIA KUTOKA CHINA KUJA TZ

Juzi juzi nilihudhuria hii event, Huyu mzee alisema dude litakua linaenda kubeba na kuleta . Kama wanavyofanya Israel.

IMG_4626.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi wewe unazungumza nini?, Magufuli amevunja NYUMBA na jengo refu la serikali pale Ubongo hadi wamarekani wamelalamika.

Acha kujiabisha kwa kuzungumza mambo kwa ushabiki. Kama kuna nchi hapa barani Afrika ambayo sheria za ujenzi hazifuatwi, Kenya inaongoza. Huna aibu eti unaipongeza Kenya Kenya kwamba wapo serious?, are you mad?.

Kenya majumba yanaporomoka kila wiki na kuuwa makumi kwa mamia ya wakenya, bado unasema wako "serious", hivi wewe kichwa chako ni timamu kweli?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kwamba hamtaki kuambiwa ukweli, hata na Watanzania wenzenu. Mwishowe mnawatusi na kusema sio wazalendo. Don't be a slave to patriotism. Don't be blinded by it
 
Sizungumzii ubora wa majengo yanayojengwa Nairobi au Kenya kijumla

Na wala sizungumzii kuhusu kubomolewa nyumba Morogoro Road kuanzia Kimara hadi Kibamba wala jengo la Tanesco, la hasha

Hapa nazungumzia hatuna sheria za maana za kukomesha ujenzi wa makazi holela kama haya yaliyopo Manzese, Tandale, Mwananyamala, Mbagala, Tandika, Keko n.k

Ni vile kila mtu akipata pesa ananunua kiwanja anajenga bila kufuata utaratibu wowote wa mipango miji, hili nchini kwetu ni tatizo

Hali ni tofauti na Kenya, penye ukweli lazima tuseme hizo slums wako nazo wana hali ngumu kweli kuliko hizi sehemu zetu za uswazi... Nyumba zilizopo uswazi kwetu ni bora kuliko zilizopo kwenye slums zao

Ila ukitoka nje ya hizo slums hukuti typical character za akina Manzese, Tandale, Tandika na Keko zaidi ya kukuta Estates na Gated Community za maana

Issue ya makazi kwao nyang'au ziko serious sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kongole Kwa kuongea ukweli ila usishangae ukivamuwa na wenzako kwa kusema ukweli. Jitayarishe kwa kuitwa kila aina ya jina for saying what you have said
 
Back
Top Bottom