Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,709
Huko sisi tulitoka kitambo. We are replacing all wooden electricity poles with concrete ones. Most new electricity connections hata mashambani ni za zegeBado upo, lakini hauwezi kuanza kwa Mara moja, lazima pawepo na kipindi cha mpito ili hizi za miti zimalizike, kumbuka kuna uwekezaji mkubwa sana ulifanyika katika viwanda na mashamba ya miti kwa ajili ya hizi nguzo.
Sent using Jamii Forums mobile app