Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo ni kwamba hamtaki kuambiwa ukweli, hata na Watanzania wenzenu. Mwishowe mnawatusi na kusema sio wazalendo. Don't be a slave to patriotism. Don't be blinded by it
Ukweli upi?, hivi katika sheria za ujenzi Kenya mnaweza kuzungumza lolote?. Sisi tunamjibu Yale abayozungumza bila kutumia akili, sisi hatumkataia kwamba sio mtanzania, tofauti na ninyi mnaosema" Mkikuyu - Akili timamu sio mkenya, kwasababu tu anawaambia ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo jana nilikua bzy na harusi ila leo lazma uzipate budaa tulia utalia na roho yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Those are minor excuses, ingekuwa baiskeli ni mingi kuliko gari ungeshapiga picha na upost humu, na ujue Kisumu najua very well. Eka picha na maeneo enye umepiga hiyo picha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wivu tu...watu walitoka kitambo hko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nguzo za miti karne hii aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Lete picha za Miji kama Naivasha, Kisumu, Mombasa, hata hapo Nairobi mjini tuone nguzo zenu. Hata chakula hamna, mtaweza kuweka nguzo za zege nchi nzima?, Kenya is really a failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teargass kuja basi tumalizane mapema mapema niendelee na shugli zingine plz ujue nakusubiri wewe tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa picha zako nimeona tu baiskeli mbili in fact tena kwa slum. This is opposite with what you said earlier that baiskeli ni mingi kuliko gari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli upi?, hivi katika sheria za ujenzi Kenya mnaweza kuzungumza lolote?. Sisi tunamjibu Yale abayozungumza bila kutumia akili, sisi hatumkataia kwamba sio mtanzania, tofauti na ninyi mnaosema" Mkikuyu - Akili timamu sio mkenya, kwasababu tu anawaambia ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo akili timamu alishakiri kitambo sana kwamba yeye ni mtanzania. Back to point of discussion, I told one of you earlier on that you can't win in everything. Kwenye swala la makazi na mipango, Nairobi inashinda Dar tena mbali sana na wenzenu wamekariri hii so many times on this forum. Kukubaliana maneno mengine doesn't make you a stupid person, trying to force things makes you one
 
Kenya tuliacha mambo za miti kitambo sana. This is KISUMU
Lete picha za Miji kama Naivasha, Kisumu, Mombasa, hata hapo Nairobi mjini tuone nguzo zenu. Hata chakula hamna, mtaweza kuweka nguzo za zege nchi nzima?, Kenya is really a failed state.

Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1302235View attachment 1302236View attachment 1302237
tapatalk_1577182545032.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom