babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,308
- 35,739
Hivi kweli na wewe unaweza choma mtu sindano 😂😂😂 maajab,Naona tangu jana nakuchoma sindano kali kali sana...
Sio wewe huaga unaimba daily eti tu zoom, sasa kaleta kitu kw ground mmeanza kuweweseka...
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu fuatilia juu huko uangalie kilichopostiwa alafu uone mjinga mwenzio kapost nini na upunguze ushakunaku wa kurukia vitu ovyo.