Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,888
- 103,753
not so fast...ni msaada
A reason I said UAE acceptance to host Kenyan flag is unethical!
To a country recipient of this food donation
not so fast...ni msaada
Sasa wewe masikini wa bibra hiyo umepost ndiyo nini ? Ndiyo maana nawatahadharisha wakikuyu mwakani mwakani msije sema atukuwaambia mapema hata kwenye sekta ya afya usishangae hadi mwakani tukiwa no3 au 4 Africa yaani mambo ni fire hatari sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Please usijaze server kwa hizo hostel chafuOlonyori, Syokimau
View attachment 1290622View attachment 1290623View attachment 1290636View attachment 1290637View attachment 1290638View attachment 1290639View attachment 1290641View attachment 1290622View attachment 1290623View attachment 1290636View attachment 1290637View attachment 1290638View attachment 1290639View attachment 1290641View attachment 1290646
Yaani hawa Kupambana na ufisadi bado sana 😂😂😂Mtu anasherekea sonko kulipa Dola laki 3 wakat wakat kaiba dollar million 15🤣🤣🤣🤣
Nchi inapoteza 6.9m ksh within 3 minutes wakat watu wanakufa na njaa huku floods ikiua watu zaidi ya 170 alaf mtu anasherekea hapa


Unaeleza chuki zako zilizokujaa wewe lakini sisi ndio tunaona maendeleo tena ni makubwa sana na kwa taifa yako barabara zinajengwa sana tena kwa speed kubwa wasifkiri hatuna barabara zinazojengwa DMDP pekee wanajenga barabara zaidi ya km 300 dar pekee alaf unaniambia km 300 miaka 30 kama sio chuki na upuuzi ni nn![]()
Hizo park Nyani zinaluusiwa ????
Maana mm najua park moja iliyojengewa nyani ni UHURU PARK TU
Sent using Jamii Forums mobile app
Please usijaze server kwa hizo hostel chafu
Nchi inapoteza 6.9m ksh within 3 minutes wakat watu wanakufa na njaa huku floods ikiua watu zaidi ya 170 alaf mtu anasherekea hapa
Masikini ni wewe na familia yako. Siwezi kuishi kwenye hizo hostel hata siku moja yaani hata college dorm yangu ilikuwa nzuri kuliko huo upuuzi mnaopost halafu nione wivu? Hivi unajjitambua wewe kweli? 🤣 🤣 Tanzania watu wengi wanaishi kwenye nyumba zao na huu mtindo wa kuishi kwenye apartments ndio umeanza kuboom sasa hivi lakini hata kama ni apartments, za kwetu sio kama hayo magofu. Uhalisia wa hizo hostel ni huu hapa chiniWivuuuu!., machungu sana, ugua pole pole. Kwenyu ni ma dream houses kibao tu.., outside Lagos hakuna mji wa masikini wengi kama Dar is slum!., fanya utafiti ujibiwe na facts.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuki za nini mimi naelezea kilichopo tena kwa mujibu wa vyanzo vya serikali kama tanroads na Tarura ingia kwenye website zao utaona.Afu nimesha site baadhi ya barabara wewe unasema zinajengwa wakati sie tulio huku hatuoni,mfano kutoka chunya hadi Tabora kuna kilomita 500 serikali imempa kazi contractor kujenga km 40 sasa hiyo trunk road itaisha lini kwa mwendo huo? Serikali iweke nguvu zaidi kwenye barabara ndio zitatusaidia zaidi but kama unataka kubishana ushiinde endelea mwenyewe
Unfinished buildings zao kama kawa 😂😂😂Masikini ni wewe na familia yako. Siwezi kuishi kwenye hizo hostel hata siku moja yaani hata college dorm yangu ilikuwa nzuri kuliko huo upuuzi mnaopost halafu nione wivu? Hivi unajjitambua wewe kweli? 🤣 🤣 Tanzania watu wengi wanaishi kwenye nyumba zao na huu mtindo wa kuishi kwenye apartments ndio umeanza kuboom sasa hivi lakini hata kama ni apartments, za kwetu sio kama hayo magofu. Uhalisia wa hizo hostel ni huu hapa chini
View attachment 1290852
LOL, Wote mnafanana as in wote akili fyatuI like your arguments, sio vijisifa vya bure, watasema wewe sio mzalendo!.,
Sent using Jamii Forums mobile app
You're alway here telling us on how best and reliable youre median outlets are then that is from citizen tvHiyo was a good gesture by Dubai gov't to Kenya., ilidhibitishwa no money was paid, they did the same to Uganda, during their independence celebration, Tanzania ndio hamjulikani kabisaaa., cha kushangaza waislamu ni wengi sana na nchi ya kiislamu haiwatambui!!., inatambua Kenya and Uganda! Less than 20% Islam!.,
Sent using Jamii Forums mobile app
Majengo ya wakenya yanatia kichefuchefu.Unfinished buildings zao kama kawa 😂😂😂