Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20191213-125332.jpg
 
Wewe wa korido za ikulu ndio wajua hivyo ila sie wa huku grassroot hatuoni hiyo usemayo
Barabara ya km 300 utajenga km 30 kila mwaka utamaliza lini? si hadi Yesu arudi sasa
Punguza chuki wewe toka magu kaingilia madarakani ana km zaidi ya 2000 utasemaje 300 Miaka 30 heheh yani unachuki za kipuuzi sana wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ndege na SGR haina impact yoyote serious🤣🤣🤣 aisee ni hatari
Sasa impacts za hizo projects kwenye uchumi wa nchi na mtu mmja mmja ni sawa na barabara au unajichekesha kwa sababu hulipii sauti na mdomo ni wako?
Afu usinilishe maneno sijasema hazina impacts yoyote ila nimesema hazina impacts kubwa ya kuchochea maendeleo ya mtu mmja mmja na taifa kama roads,hizi reli na ndege zimekuwepo miaka yote na zilijifia kinachobadilika hapa hasa reli ni speed tu..
 
Punguza chuki wewe toka magu kaingilia madarakani ana km zaidi ya 2000 utasemaje 300 Miaka 30 heheh yani unachuki za kipuuzi sana wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Chuki za nini mimi naelezea kilichopo tena kwa mujibu wa vyanzo vya serikali kama tanroads na Tarura ingia kwenye website zao utaona.Afu nimesha site baadhi ya barabara wewe unasema zinajengwa wakati sie tulio huku hatuoni,mfano kutoka chunya hadi Tabora kuna kilomita 500 serikali imempa kazi contractor kujenga km 40 sasa hiyo trunk road itaisha lini kwa mwendo huo? Serikali iweke nguvu zaidi kwenye barabara ndio zitatusaidia zaidi but kama unataka kubishana ushiinde endelea mwenyewe
 
Sasa impacts za hizo projects kwenye uchumi wa nchi na mtu mmja mmja ni sawa na barabara au unajichekesha kwa sababu hulipii sauti na mdomo ni wako?
Afu usinilishe maneno sijasema hazina impacts yoyote ila nimesema hazina impacts kubwa ya kuchochea maendeleo ya mtu mmja mmja na taifa kama roads,hizi reli na ndege zimekuwepo miaka yote na zilijifia kinachobadilika hapa hasa reli ni speed tu..
Yani unazungumza sgr ina impact gan kwenye uchumi hvi wewe unaakilo timamu??🤣🤣🤣 hujui impacts zake kwenye uchumi au hujasoma ndugu ndege ina impact kubwa sana kwenye kuleta watalii na ikizingatia utalii ndio imekua kichocheo kikubwa cha mapato serekalini mbali na kuleta watalii pia ni kigogo kikubwa cha kutangaza watalii au hujui utalii umeajiri watu laki 5 na zaidi na hapo bila kusahau airline pia inaajiri watu wengi tu

Tukirudi kwenye SGR dunia yoyote uminayoendelea sasa hvi lazma ijikite kwenye reli tena ya kisasa kwasababu usafiri nafuu pekee duniani baada ya meli ni reli na inaweza kuondosha kwa mkupuo mzigo au abiria wengi sana kwa wakat mmoja sasa leo hushiki faraja kuona mtu anaeza kwenda dodoma kwa masaa matatu tena kwa bei nafuu huoni kwamba ile simplicity ya kufanya business itakua rahisi sana na bei zitapungua sana
 
Chuki za nini mimi naelezea kilichopo tena kwa mujibu wa vyanzo vya serikali kama tanroads na Tarura ingia kwenye website zao utaona.Afu nimesha site baadhi ya barabara wewe unasema zinajengwa wakati sie tulio huku hatuoni,mfano kutoka chunya hadi Tabora kuna kilomita 500 serikali imempa kazi contractor kujenga km 40 sasa hiyo trunk road itaisha lini kwa mwendo huo? Serikali iweke nguvu zaidi kwenye barabara ndio zitatusaidia zaidi but kama unataka kubishana ushiinde endelea mwenyewe
Unaeleza chuki zako zilizokujaa wewe lakini sisi ndio tunaona maendeleo tena ni makubwa sana na kwa taifa yako barabara zinajengwa sana tena kwa speed kubwa wasifkiri hatuna barabara zinazojengwa DMDP pekee wanajenga barabara zaidi ya km 300 dar pekee alaf unaniambia km 300 miaka 30 kama sio chuki na upuuzi ni nn🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom