Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Now ur senators that the DPP is supposed to press charges against r free representing their clients in the judiciary!


Kenyan politics can make you sick. Best thing is to avoid following up. Its been a year since I sat down and watched news on T.V. I just read through the political news on weekends juu daily it's drama. I prefer following up on business news
 
Shaba Village, Syokimau
shaba.jpg
maxresdefault (12).jpg
uqmfyuhlyedwyddtgjfxsqmdbu.jpeg
Shaba-Village3.jpg
Shaba-Village.jpg
 
Subiri mwakani slum boy ,project za Kenya ni sawa na matifari 2000 yaliyo tengenenezwa na mfuko mmoja wa cement na project project za tz ni sawa na matofari 2000 yaliyo tengenezwa na mifuko 100 ya cement tena siku ukijua hii logic ya uchumi
$1bil iliyopo tz inafanya kazi kubwa sawasawa na $3bil iliyopo Kenya ,Tena kibaya zaidi hata hiyo $3bil Kwa Kenya inafisadiwa na kufanya low quality things
Ndio nawaambia mko na projects zinakuja kali lakini bado. Na hakuna ambaye hawatakii maendeleo. Sisi tukianza kusema mwakani si mtatoroka? afadhali kusema "at least mwakani tutakuwa tumepiga hatua kubwa." Mkisema mwakani you can match the infrastructure on this side is a joke taken too far

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia pekee ya Kenya kuvuka salama uchaguzi wa 2022 ni kupsta MTU tapeli kuliko Uhuru atakaye fanikiwa kuwa danganya wakenya ili mumchague Kwa sababu mzimu wa magufuli utawasumbueni sana kufikia 2022 mark my word
Hadi 2022 kila mkenya atachukia wanasiasa na Yale makabila yasiyo ya Kikuyu yataona wakikuyu ndiyo sababu ya kuanguka Kwa Kenya sasa hapo moto utawaka
So you guys pray for our downfall? mtangoja. Achana na siasa unaona Twitter. Kwa ground mambo ni tofauti. Hii kenya ya sasa kama ulivyo ona 2017 si ile ya kitambo. The market remained relatively stable proving that the private sector and investors trusts our politics have come of age. After 2022 we're are focusing on our SEZs, Konza, Mombasa Gate, dualling Nakuru-Nairobi highway, social services etc. You cannot build flyovers forever. Tutawaachai hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwakani mtaisoma namba tatizo wakenya mnategemea majengo ya watu binafsi na kudharau public things wakati sisi tunajenga jituo vya mabasi vya kisasa brt kuboresha usafiri wa anga na treni hivyo mgeni akitembelea tz inakuwa rahisi kunoti maendeleo na kuona upekee wa tz, nyinyi mnasubili mchina au mzungu ajenge gorofa, project za Kenya nyingi ni kuchezea hela tu tena nyingi ni mizigo Kwa uchumi wa Kenya hata project za Umeme mlizo nazo ni mzigo Kwa sababu ni zakifisadi sasa cheki sgr ya tz itstumia Umeme ambao ni Mali ya tz 100% na cheap mara 4 ya wasasa na kwenda hadi drc Rwanda burundi Kwa Umeme wetu ,pili tuna Fanya mikakati ya kutumia gesi kuendesha magari binafsi na brt ,3 tunampango wa kubadili reli ya tz na Zambia pamoja na reli zetu zote ili zitumie Umeme Mara bwawa letu likikamilika hiyo kuwa very cheap kiuendeshaji na kusababisha nchi zote zinazo zunguka tz kutumia bandari zetu na kuacha SA
Kwanza ona hii video ndio utajua kwanini mwakani si karibuni


Sent using Jamii Forums mobile app
 
On one end you say you are more developed. The next you say tusubiri mwakani. Am confused. By mwakani do you mean you're yet to catch up? shida you guys base your arguments on misinformation and propaganda. Sometime back you were told that Kenya's SGR station in Maai Mahiu (Naivasha) made no economic sense. Sikupata wakati wa kulog in huku but am sure Ichoboy was busy posting negative tweets hapa. Mmepiga hapa kelele Mombasa container freight business inaanguka yet hamuelewi what is happening. This week people were surprised that there's some serious work going on in Naivasha's SEZ by the private sector but the media will not report about it and it won't even trend on twitter.
Kwani unadhani mwakani ndiyo tutawapita kimaendeleo hata sasa tumesha wapita ila mnaleta ubishi bure mwakani ndiyo mwanzo wa wakenya kukili wenyewe Kwa midomo yenu kuwa tz ni great country than you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True bongo bado sana ni kelele tu za kujitutumua afu tunaona tumefanya vikuubwa.Afu hii tabia ya kuto focus projects chache na kuzikamilisha vizuri inasababisha kutokuwa na impacts kubwa kwa eneo,mfano unajenga tu flai ova 2 unahamia projects nyingine tofauti ile foleni inakua umehamishia sehemu but tungefocus kufanya overhaul kwenye area zote ingebadili mji kabisa badala ya kutapanya tapanya na kuruka ruka
Nina mifano mingi ya projects za hivyo zilizoishia njiani kama ulgsp na hii ya kujenga hospitali kila wilaya,vituo vya afya kila kata na dispensaries kila kijiji,Serikali ifanye kama REA ukiazimia jambo unamalizana nalo mazima
 
Miradi inayoendelea Dar
I. Dar es salaam metropolitan project (DMP) $300mln
ii. $ 159 man 20.3 km DART Phase II Gerezani-Mbagala with 2 flyovers
iii. Ubungo flyover
iv. 19 km 8-12 lanes Kimara-Kibaha highway with 3 flyovers
v. $50 mln Dar Bus Terminal
vi. Dar modern Abbatoir
viii. $400mln Dar es Salaam Maritime Gateway Project (DMGP)
ix. $126 mln Selander Bridge with 2 flyovers at both ends

Miradi inayoendelea Dodoma
i. Ring Road over $200mln
ii.$ 275 mln Msalato Airport
iii. Several government offices plus public facilities bus terminals, central market, ministry offices, state house, vice president office, prime minister office, hospitals, schools, government agencies like ihumwa dry port, Nala trucks parking port, Immigration headquarter, government city complex, EWURA, BOT, NHIF, PSPF, NBS, NHC, NEC, CRB, parastatals NSSF, LAPF, PPF hotel projects by City municipal n parliament, Watumishi housing r not less than $500 mln in total.

Miradi Mwanza
BTW JPM kazindua miradi ya zaidi ya Tshs 800 bln ila ukijumlisha miradi ya upanuzi wa hospitali mbili Seko Toure na ya wilaya ya Nyamagana iliyozinduliwa na Rais Shein na Makamo wa Rais Mama Samia na ule wa Waziri Mkuu Majaliwa wa uwanja wa ndege (cargo, passengers terminals plus runway extension) JPM na serikali yake imezindua miradi isiyopungua $500 mln Mwanza alone! Hapo miradi ya Hospitali ya Mara Kwangwa na ya wilaya ya Chato haijaguswa. Ule uwanja wa Chato pia haujaguswa!












Dar na Mwanza/Lake zone imependelewa kwa sababu za kisiasa nadhani nimeeleweka but ni game changer yote ni Tzn,hapo Dom kuna mradi mkubwa zaidi wa kujenga dam ya DOWASA
Awamu ya pili baada ya uchaguzi serikali itupie jicho lake pia kanda ya Nyanda za juu kusini ,kaskazini na Western zone huku tumetelekezwa.Our biggest city mbeya iko jammed sana na traffic tunahitaji 4 lane kutoka mbeya hadi Tunduma na uyole mbalizi bypass bila kusahau airport ambayo huwa haikamiliki over 20 yrs now
Hatuna barabara za kuunganisha mkoa wa rukwa na kigoma,Kigoma na Tabora,Mbeya na Tabora wala Songea na Ifakara/morogoro.
Hizo pesa za kujenga daraja juu ya ziwa zilitosha kumaliza hizo projects za barabara nilizotaja hapo juu,serikali iangalie aina ya vipaombele vyake na impacts zake kwenye uchumi na siasa pia
 
Dar na Mwanza/Lake zone imependelewa kwa sababu za kisiasa nadhani nimeeleweka but ni game changer yote ni Tzn,hapo Dom kuna mradi mkubwa zaidi wa kujenga dam ya DOWASA
Awamu ya pili baada ya uchaguzi serikali itupie jicho lake pia kanda ya Nyanda za juu kusini ,kaskazini na Western zone huku tumetelekezwa.Our biggest city mbeya iko jammed sana na traffic tunahitaji 4 lane kutoka mbeya hadi Tunduma na uyole mbalizi bypass bila kusahau airport ambayo huwa haikamiliki over 20 yrs now
Hatuna barabara za kuunganisha mkoa wa rukwa na kigoma,Kigoma na Tabora,Mbeya na Tabora wala Songea na Ifakara/morogoro.
Hizo pesa za kujenga daraja juu ya ziwa zilitosha kumaliza hizo projects za barabara nilizotaja hapo juu,serikali iangalie aina ya vipaombele vyake na impacts zake kwenye uchumi na siasa pia
JPM alishaongelea ushoroba wa magharibi alipokuwa Rukwa isitoshe baadhi ya sehemu ujenzi ushaanza! Na akasema nia ni kufungua njia kwa Uganda Rwanda name Burundi kufanya biashara na SADC! In return Uganda ijiandae kufungua njia kuelekea South Sudan na Ethiopia.



Suala la Songwe airport pia alilizungumzia Awamu ya nne iliweka mkandarasi tapeli kutoka Kenya runway inabanduliwa na kurudiwa!
 
Back
Top Bottom