Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,885
- 103,752
Halafu watatembeza bakuli soon! Matiangi na Uhuru wanauliziwa!So what yani Munatoa pesa kwenye huu upuuzi mkiambiwa nyinyi ni failed state munalalamika🤣🤣
Wanabishana huku Pokot watu wakifa
Halafu watatembeza bakuli soon! Matiangi na Uhuru wanauliziwa!So what yani Munatoa pesa kwenye huu upuuzi mkiambiwa nyinyi ni failed state munalalamika🤣🤣
Mfano wa slums ya kenya ambazo zinaonekana kwa ground niSasa mbna unateseka jomba, hzo ndio middle class za dar..so unatakiwa kupinga km hujakubaliana na mm manake ukisema sijui hyo ni aerial na hii hapa pia ni aerial ya nyayo estateView attachment 1290046
Sent using Jamii Forums mobile app


Render za soko ndio mnajua kuchora....nchi ya hadithi.......hiyo pesa pia msaidie nayo wengi ya watanzania wanavyoishi hivi...maisha duni hatariView attachment 1290439View attachment 1290440
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali choka mbaya wa tz anaweza kuishi mahali popote kenyaUmesahau tusio render tayar ujenzi uko asilimia 40% hulu render ni mwiko
View attachment 1290459View attachment 1290460
View attachment 1290642View attachment 1290643View attachment 1290644
Hawa jamaa watapata tabu sana. Sisi tunaenda mbele tu
Huu wimbo wa "Mwakani" tumesikia toka enzi za Nyerere
Sasa wewe masikini wa bibra hiyo umepost ndiyo nini ? Ndiyo maana nawatahadharisha wakikuyu mwakani mwakani msije sema atukuwaambia mapema hata kwenye sekta ya afya usishangae hadi mwakani tukiwa no3 au 4 Africa yaani mambo ni fire hatari sanahehe, mwakani mtajenga haya yote hapa chini? sema tu mwakani tutakuwa tumepiga hatua kubwa bali si tutakisoma. Mko na projects kali njiani lakini mkishinda mkisema mwakani itawaumiza matumbo.
View attachment 1289972
View attachment 1289975
View attachment 1289955
View attachment 1289956
View attachment 1289958
View attachment 1289959
View attachment 1289961
View attachment 1289962View attachment 1289965
View attachment 1289963
View attachment 1289979
View attachment 1289980
View attachment 1289981
Wewe mkikuyu subiri mwakani kama ujatolokea tz uje kuwa house girl wangu
Hizo park Nyani zinaluusiwa ????
Hizo projects za barabara kuunganisha mikoa ..zote ziko under constructionDar na Mwanza/Lake zone imependelewa kwa sababu za kisiasa nadhani nimeeleweka but ni game changer yote ni Tzn,hapo Dom kuna mradi mkubwa zaidi wa kujenga dam ya DOWASA
Awamu ya pili baada ya uchaguzi serikali itupie jicho lake pia kanda ya Nyanda za juu kusini ,kaskazini na Western zone huku tumetelekezwa.Our biggest city mbeya iko jammed sana na traffic tunahitaji 4 lane kutoka mbeya hadi Tunduma na uyole mbalizi bypass bila kusahau airport ambayo huwa haikamiliki over 20 yrs now
Hatuna barabara za kuunganisha mkoa wa rukwa na kigoma,Kigoma na Tabora,Mbeya na Tabora wala Songea na Ifakara/morogoro.
Hizo pesa za kujenga daraja juu ya ziwa zilitosha kumaliza hizo projects za barabara nilizotaja hapo juu,serikali iangalie aina ya vipaombele vyake na impacts zake kwenye uchumi na siasa pia
Wewe mkikuyu subiri mwakani kama ujatolokea tz uje kuwa house girl wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwakani syndrome paralysis at work......tuta....tutapanga....crap
Sent using Jamii Forums mobile app




Wewe wa korido za ikulu ndio wajua hivyo ila sie wa huku grassroot hatuoni hiyo usemayoHizo projects za barabara kuunganisha mikoa ..zote ziko under construction
Sent using Jamii Forums mobile app