True bongo bado sana ni kelele tu za kujitutumua afu tunaona tumefanya vikuubwa.Afu hii tabia ya kuto focus projects chache na kuzikamilisha vizuri inasababisha kutokuwa na impacts kubwa kwa eneo,mfano unajenga tu flai ova 2 unahamia projects nyingine tofauti ile foleni inakua umehamishia sehemu but tungefocus kufanya overhaul kwenye area zote ingebadili mji kabisa badala ya kutapanya tapanya na kuruka ruka
Nina mifano mingi ya projects za hivyo zilizoishia njiani kama ulgsp na hii ya kujenga hospitali kila wilaya,vituo vya afya kila kata na dispensaries kila kijiji,Serikali ifanye kama REA ukiazimia jambo unamalizana nalo mazima
Hyo DMDP tu imeacha lami kila kona tena lami ya kiwango cha juu sn co zile walizokuwa wanapaka dudu killer wanatuzuga eti lami hizi za ss ni za kimataifa na taa juu aysee Tz ya leo km ataamshwa mfu aliekufa mwaka 2005 atazani labda yupo joburg au Cairo kumbe yupo Dsm I bet the game is over now
Haaaa,nyie mlio na access ya kukutana na Rais inafaa mumshauri vizuri,game changer ya Tzn ni barabar both mijini na highways.Serikali iweke nguvu kubwa huku iachane na miradi ya show off na kujitutumua na ambayo haina impacts kubwa kwa watu kama ndege na hizo sgr au kufufua reli kama za dar moshi wakati kiukweli hakuna faida yoyote itapatikana
Ningefurahi sana kama serikali ingekomaa na barabara nchi nzima maana out of 35,000 km za Tanroads ni less than 10,000 ndio ziko tarmacked wakat out of 135,000km of roads managed na TARURA ni less than 2,000km ndio ziko tarmacked.Kwa nini nguvu kubwa isiende huku?
hehe, mwakani mtajenga haya yote hapa chini? sema tu mwakani tutakuwa tumepiga hatua kubwa bali si tutakisoma. Mko na projects kali njiani lakini mkishinda mkisema mwakani itawaumiza matumbo.
Haaaa,nyie mlio na access ya kukutana na Rais inafaa mumshauri vizuri,game changer ya Tzn ni barabar both mijini na highways.Serikali iweke nguvu kubwa huku iachane na miradi ya show off na kujitutumua na ambayo haina impacts kubwa kwa watu kama ndege na hizo sgr au kufufua reli kama za dar moshi wakati kiukweli hakuna faida yoyote itapatikana
Ningefurahi sana kama serikali ingekomaa na barabara nchi nzima maana out of 35,000 km za Tanroads ni less than 10,000 ndio ziko tarmacked wakat out of 135,000km of roads managed na TARURA ni less than 2,000km ndio ziko tarmacked.Kwa nini nguvu kubwa isiende huku?
Render za soko ndio mnajua kuchora....nchi ya hadithi.......hiyo pesa pia msaidie nayo wengi ya watanzania wanavyoishi hivi...maisha duni hatariView attachment 1290439View attachment 1290440

December 13, 2019
13Dec 2019
Correspondent
Dar es Salaam Business
The Guardian
NIT in ambitious move to be training hub for transport experts in SSA
AN ambitious plan to turn National Institute of Transport into a training hub for Sub Sahara Africa is currently underway thanks to the government and development partners’ backing.
NIT’s rector, professor Zacharia Mganilwa said in Dar es Salaam this week during the 6th convocation ceremony that they are already implementing new projects targeting to serve transport expert needs of the SSA.
“We are already implementing a number of projects which focus on the needs of transport experts in Sub Sahara Africa,” said prof Mganilwa in a speech read on his behalf by NIT’s deputy rector, Dr Prosper Mgaya.
He named some of the on-going projects as establishment of a Centre of Excellence in Aviation and Transport Operations; establishment of Regional Centre of Excellence in Road Safety; expansion of Lindi Campus for Maritime Studies and Petroleum Technology; KIA Campus for Aviation Training.
“But we are also in the final stages to acquire 800 acres of land in Dodoma City for an NIT campus,” he added as the institute introduces new degree and diploma courses aimed at serving the current and future innovation in all form transport which include air, water and surface.
NIT rector further noted that their aim is to produce graduates who are not only ready for modern transport needs but also those who will acquire skills and become entrepreneurs to employ themselves and others.
“We hope that during your time here you have learnt the valuable lesson of rethinking education – in all of its facets,” he told the graduates noting that they are now part of an elite group of transport experts who with credentials from the NIT.
“We have prepared you to fulfil the realization of an ambitious thinking of the new NIT to train experts who are innovative, offer solutions to the market and expert advice,” he added.
On his part, NIT’s chairperson of the Governing Council, prof Blasius Nyichomba said the institute has over the years been living the vision to create thought leaders and change makers. “Since 1975 NIT has been imparting knowledge and skills to students and it has evolved into a prestigious transport institution which has given the industry successful and competent transport professionals,” prof Nyichomba said.
He added that NIT's focus has always been to deliver quality transport experts who adopt a culture of continuous learning hence has been consistently named among the best higher learning institutions in the country.
The NIT chairman further noted that through the support of its illustrious alumni base, the institute has been gauging various needs of the industry hence has positioned itself as a competitive and reputable institution of higher learning.
Haaaa,nyie mlio na access ya kukutana na Rais inafaa mumshauri vizuri,game changer ya Tzn ni barabar both mijini na highways.Serikali iweke nguvu kubwa huku iachane na miradi ya show off na kujitutumua na ambayo haina impacts kubwa kwa watu kama ndege na hizo sgr au kufufua reli kama za dar moshi wakati kiukweli hakuna faida yoyote itapatikana
Ningefurahi sana kama serikali ingekomaa na barabara nchi nzima maana out of 35,000 km za Tanroads ni less than 10,000 ndio ziko tarmacked wakat out of 135,000km of roads managed na TARURA ni less than 2,000km ndio ziko tarmacked.Kwa nini nguvu kubwa isiende huku?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.