Gwakagwaka
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 525
- 1,424
Kah!🤣🤣🤣
kwani hatutumii hizo zinazojengwa na deni? ama kutumia kwa kitu kunabadilika kulingana na financing? hao unaowataja ni wachache ndio wamejinufaishi. Hao wabunge wanakimbilia hadi $100 kwa choo wakati wa kupitisha bills unasema pesa zinaingia mifukoni mwao? Heri ungesema kiwango kikubwa kinaenda kwa brokers. Brokers ndio hao wamejenga majumba na kufungua mabiashara yanayo ajiri watu. Tender huku utapata hata ukiwa na miaka 20 bora una bidii na kujiamini. Popote duniani ni bidii ya mtu wala si vile serikali inatumia pesa especially kama umepata kisomo. Hilo wazo unajaribu kuleta liko outdated1. hela zinaingia mifukon mwa MPs & Govmnet officials (corruption)
2. Mnalalamikaga nn deni la taifa kuongezea, if it’s beneficial?
the incidents led to the cancellation. Fanya research weweSo operating without licence? Isn't this the same airline an aircraft tyre sprang out of a landing gear while on the runway n full of PAX!? 😀 😀 😀 🙄
![]()
Silverstone airline is no more in operation!the incidents led to the cancellation. Fanya research wewe



Hii thread imeelimisha sana watu hasa wakenya yale matusi waliokua wakiyatukana sasa yameisha wamebakia Kurusha ngumi za hewani![]()
Miradi inayoendelea Darhehe, mwakani mtajenga haya yote hapa chini? sema tu mwakani tutakuwa tumepiga hatua kubwa bali si tutakisoma. Mko na projects kali njiani lakini mkishinda mkisema mwakani itawaumiza matumbo.
View attachment 1289972
View attachment 1289975
View attachment 1289955
View attachment 1289956
View attachment 1289958
View attachment 1289959
View attachment 1289961
View attachment 1289962View attachment 1289965
View attachment 1289963
View attachment 1289979
View attachment 1289980
View attachment 1289981
Sasa mbna unateseka jomba, hzo ndio middle class za dar..so unatakiwa kupinga km hujakubaliana na mm manake ukisema sijui hyo ni aerial na hii hapa pia ni aerial ya nyayo estateSa ninyi mnaleta picha ambazo ni aerial leta ambazo zinaonekana vizuri kwa ground ndo uendeleze ubishani
Sent using Jamii Forums mobile app






Unaelewa kingereza kwel, duh!!Nilisoma mahali kuwa china haitaki na haipendi kuitwa developed countryalafu eti kenya inayopokea mikopo na misaada ya chakula kutoka china wanajiita developed country tena bila aibu.
![]()
China refuses to give up ‘developing country’ status at WTO
Beijing calls differential treatment a ‘fundamental right’, says it will not cede to Trump’s demands on World Trade Organisation reform.www.scmp.com
Naielewa kuliko wewe alafu hata wala siiabudu.
Km hiialiyekuambia kuwa hapo mabibo au mbagala ni nani.....kuna video za nyimbo kibao tu za wasanii wa bongo wamechukua uswazi kacheki youtube
Sent using Jamii Forums mobile app




