Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Kajamaa kapo-confused hadi kanaposti hiace za miaka 10 iliyopitaWhat do I have to say? You are pathetic! You have been f*ck*d hard hadi unaleta picha za 10 years ago
Kajamaa kapo-confused hadi kanaposti hiace za miaka 10 iliyopitaWhat do I have to say? You are pathetic! You have been f*ck*d hard hadi unaleta picha za 10 years ago
Unazitafuta kwa torch
Yaani hadi kumkamata gavana wameleta military? 😂 😂 😂 💀 💀 💀 kenya kuna vituko kweli. Ila nawapongeza kwa kufikia hatua ya haki na usawa. Haijalishi ni kiongozi, amefanya makosa ama ni suspect lazima akamatwe. Kwa democracy nawapa 100%
Hawa majamaa huoni wanafuatilia news za Kenya nikama hakuna kazi nyingine. They find satisfaction wakiona some negative thing ndio wacompare na shida zao. They can't run their own race. Wako hapa wakiangalia nini tunafanya ili wacopy paste ama kuharibu. Hukumbuki hawa ndio walikuwa wamekataa ku endorse Amina Mohammmed for AU chair na saizo hawakuwa na candidate. Mi mwenyewe nimelike tu news handle ya kampuni moja Kenya na sikumbuki niliona news za T.V siku gani mwisho. Nashangaa kuona Mtanganyika akifuatilia news za hapa nikama zinamhusu.There's no day a Kenyan will compare himself or herself with Tanzania, nchi ya bongolalas. Even this thread was started by a fellow Tanzanian trying to compare Nairobi with some shithole village called a city just because they couldn't find a better word to describe it. Kenya has problems, and so many for that matter. But we are ahead of you in virtually everything. Economically, politically, socially. Name it. We may be doing bad, but I know you are not doing any better than us
Tangu lini nyani akaona kundule,Hawa majamaa huoni wanafuatilia news za Kenya nikama hakuna kazi nyingine. They find satisfaction wakiona some negative thing ndio wacompare na shida zao. They can't run their own race. Wako hapa wakiangalia nini tunafanya ili wacopy paste ama kuharibu. Hukumbuki hawa ndio walikuwa wamekataa ku endorse Amina Mohammmed for AU chair na saizo hawakuwa na candidate. Mi mwenyewe nimelike tu news handle ya kampuni moja Kenya na sikumbuki niliona news za T.V siku gani mwisho. Nashangaa kuona Mtanganyika akifuatilia news za hapa nikama zinamhusu.
ni akili huna ama vipi kaka? Hapa naona ni waTz wanashare post za kutoka Kenya na si waKenya. Umeenda kwa hiyo forum ya Kenya ukaona wakidiscuss Tz lately? na kama wanadiscuss am sure it's just pointing out something good. Lakini nyie udaku tu kama busybodies wa mtaa. Fact ni kuwa Tz still has ages to reach mahali tuko. Hizo vitu mnaleta hapa it's an insignificant part of Kenya or Nairobi. Mkiona tunacomplain ni kwa kuwa we are pushing our leaders to deliver even more. That's what a healthy democracy does. Si kama nyie hapa hamuezi criticize government ila kusifu tu kama kondooTangu lini nyani akaona kundule,
Eti tunafuatilia news za kenya 😂😂😂 tungekuwa tunafuatilia news zenu tungekuwepo kwenye ile forum yenu ya kishamba 😂😂😂 nyie hadi huwa mnapitia kwenye majukwaa ya Tz kusoma news za Tz 😂😂😂 yaani nyie mnafuatilia kila kitu chetu, wasanii wetu mnawafuatilia, nyimbo za wasanii wetu mnazifuatilia, Rais wetu mnamfuatilia, yaani kila kitu, sindano zikizidi huwa mnasema hivi 😂😂😂
Ingekuwa huwa unapitia nyuzi zingine ungeona namna wakenya wenzako wanavyoleta news za Tz humu au huwa unavaa miwani ya mbao 😂😂😂ni akili huna ama vipi kaka? Hapa naona ni waTz wanashare post za kutoka Kenya na si waKenya. Umeenda kwa hiyo forum ya Kenya ukaona wakidiscuss Tz lately? na kama wanadiscuss am sure it's just pointing out something good. Lakini nyie udaku tu kama busybodies wa mtaa. Fact ni kuwa Tz still has ages to reach mahali tuko. Hizo vitu mnaleta hapa it's an insignificant part of Kenya or Nairobi. Mkiona tunacomplain ni kwa kuwa we are pushing our leaders to deliver even more. That's what a healthy democracy does. Si kama nyie hapa hamuezi criticize government ila kusifu tu kama kondoo
Have you seen a Kenyan here posting news from a news channel from Tanzania? You will never see. But how many times in a day do Tanzanians share tweets or facebook posts za media houses za Kenya? What does that tell you? Nyinyi hapa mnajua hadi magavana wa Kenya and their deputies wakati mimi hapa I don't even know the name of your vice president!Tangu lini nyani akaona kundule,
Eti tunafuatilia news za kenya 😂😂😂 tungekuwa tunafuatilia news zenu tungekuwepo kwenye ile forum yenu ya kishamba 😂😂😂 nyie hadi huwa mnapitia kwenye majukwaa ya Tz kusoma news za Tz 😂😂😂 yaani nyie mnafuatilia kila kitu chetu, wasanii wetu mnawafuatilia, nyimbo za wasanii wetu mnazifuatilia, Rais wetu mnamfuatilia, yaani kila kitu, sindano zikizidi huwa mnasema hivi 😂😂😂
wanafungua kwa kuwa mmewakera na misinformation na ignorance. But mostly no one bothersIngekuwa huwa unapitia nyuzi zingine ungeona namna wakenya wenzako wanavyoleta news za Tz humu au huwa unavaa miwani ya mbao 😂😂😂
Daily wakenya wenzako wanafungua nyuzi za kijinga kuhusu Tz lakini huwezi ona kwa sababu unavaa miwani ya mbao,
Kila siku ndugu zako wanazileta humu lakini sometimes moderator huzifuta kutokana na kuwa ni za kijinga ,
Ukiona tunashare tweet za habari za kenya ujue na nyie huwa mnafanya hivo,
Shida yenu kubwa ni kupenda kuchokoza alafu mkiguswa mnaona ni kama mnaonewa.
Inferiority complex ndio inawasumbuaHawa majamaa huoni wanafuatilia news za Kenya nikama hakuna kazi nyingine. They find satisfaction wakiona some negative thing ndio wacompare na shida zao. They can't run their own race. Wako hapa wakiangalia nini tunafanya ili wacopy paste ama kuharibu. Hukumbuki hawa ndio walikuwa wamekataa ku endorse Amina Mohammmed for AU chair na saizo hawakuwa na candidate. Mi mwenyewe nimelike tu news handle ya kampuni moja Kenya na sikumbuki niliona news za T.V siku gani mwisho. Nashangaa kuona Mtanganyika akifuatilia news za hapa nikama zinamhusu.
Hili jukwaa Mlitengenezewa maalum kwa mambo ya kenya lakini kwa sababu mko na uchokozi by nature mkaaanza kupost habari za Tz 😂😂😂 sisi ni akina nani basi tusiwape kichapo 😂😂😂wanafungua kwa kuwa mmewakera na misinformation na ignorance. But mostly no one bothers
sana, na inakera. People should run their own raceInferiority complex ndio inawasumbua
Kenya pia hilo ndio inawasumbua sana.Inferiority complex ndio inawasumbua
hakuna kichapo, it's just the number of Tzs hapa ni kubwa sana. Kama kweli una maarifa, mambo mengine huezi tajaHili jukwaa Mlitengenezewa maalum kwa mambo ya kenya lakini kwa sababu mko na uchokozi by nature mkaaanza kupost habari za Tz 😂😂😂 sisi ni akina nani basi tusiwape kichapo 😂😂😂
Yaani hadi kumkamata gavana wameleta military? 😂 😂 😂 💀 💀 💀 kenya kuna vituko kweli. Ila nawapongeza kwa kufikia hatua ya haki na usawa. Haijalishi ni kiongozi, amefanya makosa ama ni suspect lazima akamatwe. Kwa democracy nawapa 100%
Shida moja na waTz ni chuki kwa foreigners ambayao haina msingi. Kenya is by far the friendliest country in this region. We accommodate every country bila pressure. But huko kwenu, am sure the first question JPM huuliza akiamka ni Kenya kunaendelea aje? kisha tutacompete nao vipi? ama tutawafungia vipi? hapa sisi kama kitu iko sawa we take it and force locals to catch up. While it might sometimes kill our local industries, we understand that innovation stems from such competition.
Sasa unalia lia ovyo hapa 😂😂😂hakuna kichapo, it's just the number of Tzs hapa ni kubwa sana. Kama kweli una maarifa, mambo mengine huezi taja
I thought you had an answerGo and visit WB's website, all information are available for public consumption