komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Huhuhuuuuu!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukwel haufutuki banaUsitulaumu sisi, ni World Bank ndio wanasema Tanzania umasikini ni 26% na Kenya ni 42%. Inawezekana WB wamepewa rushwa na CCM, huwezi jua. Hahahaha, Hahahaha.