DumbTanzania hakuna majengo bana....matatu hayawezi kuporomoka
Azam walianza vizuri ila waliamua kuendesha timu yao kwa low budget baada ya kugundua kuwa ligi ya tz haina thamani inayoendana na uwekezaji wao,akapewa timu mhindi mmoja hivi yaani huyo anawachukulia wachezaji kama wafanyakazi wa godownjamaa wana kila kitu! wanashindwa nn kuongoza ligi home na kuchukua makombe ligi za Afrika?
Hahahaha, hiyo ni ripoti ya World Bank, wewe unaleta za magazetini, Kenge wewe
Dah yani hii nchi inaskitisha sana haipiti mwaka haipiti miezi 6 lazma usikie gorofa limedondoka
😀😀😀😀😀😀Hahahaha, hiyo ni ripoti ya World Bank, wewe unaleta za magazetini, Kenge wewe
Umasikini Kenya ni zaidi ya 60% world bank inajitaidi kuwabeba ila wapi sisi tukmaliza bwawa letu la Umeme na kushusha bei ya Umeme umasikini utapungua kabisa
Hata mimi Sijawahi ona mto yenye maji ya chumvi. Dar is the only place in the entire world that has salty riversWe dogo inaonekana hata shule hukuenda katu
Dar es salaam ina maji ya chumvi kiasili,tangu lini mamba akakaa katika maji ya chumvi..Dar yote huwezi kumkuta mamba,labda kuanzia mikoa ya iringa na kuendelea huko,usijidhalilishe Mr.natural calamities
Next Level ni hii hapaLeo ndo unalitambua hili..!!!
Ila mafuriko ya nairobi ni next level aiseee
jamaa wana kila kitu! wanashindwa nn kuongoza ligi home na kuchukua makombe ligi za Afrika?
What do I have to say? You are pathetic! You have been f*ck*d hard hadi unaleta picha za 10 years agoWhat do you have to say about this?
View attachment 1283836View attachment 1283839View attachment 1283840View attachment 1283842View attachment 1283843View attachment 1283847View attachment 1283848View attachment 1283836View attachment 1283839View attachment 1283840View attachment 1283842View attachment 1283843View attachment 1283847View attachment 1283848