iam_paco
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 408
- 688
Hapana, ni mombasa ileile yenyu kutuMasaki ile ile yenye appartments kila kona
Hapana, ni mombasa ileile yenyu kutuMasaki ile ile yenye appartments kila kona
Masaki ile ile yenye appartments kila kona
Wapi new?Ndio na wewe uka amua kuchukua hzo picha uka poleka kule...
Old town hyo jomba, inatumika km kivutio cha utalii...
Mbna mtateseka sana
Akikuonesha new nitag bro plz😀😀😀Wapi new?
lakini nayo haina watu kwani watanzania mnaogopa ndege ama hamna pesaTunaanza kuhesabu, wakwanza ameanza kukubaliana na ukweli, " next please!!"
Sema tu swahiba wako alisahau kukutumia jomba ndipo ukamkumbusha leo akakutumia whatsapp...
Hapa lazima povu litamwaika sana
LOL Next level slumHapana, ni mombasa ileile yenyu kutuView attachment 1279431
Mlijenga brt lini Au ile lipstick...Tulifanya kitambo hzo na tunaendelea kuongeza...mtafika tu






Etty ndo barabara ya jiji la nairobi kweli wako hovyo kabisaEti wanashindana na tanzania
Huyo jamaa ni kilaza sana hawezi kuwa na iphone
Huo mfumo haupo kenya pekeake, nchi nyingi sana zime dedicate special lanes kw kupaka rangi sehemu flani ya barabara..Mlijenga brt lini Au ile lipstick...
Nilitegemea povu kutoka kw wenzako...anyway kuna watu hapa jf huaga hawana longo longo km vile ndinda..
Tumewaachia wajaluo hzo



Iphone nilitumia na sai naitumia km toy, sikuwai ipenda kabisa...zilikua shobo tu...
Kula middle finger hyo...Huyo jamaa ni kilaza sana hawezi kuwa na iphone