Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata kabla ya express way hawajai leta kitu iko level ya Outerring road, leave alone Thika Road. Watakuambia hakuna BRT na matofali 😂 😂 Mambo ya bara bara wapatie miaka 50 ama zaidi ndio wakuwe na ile tuko nayo kwa sasa. Saizo tutakuwa na shugli zingine kama kujenga Mombasa na Nakuru. In fact hiyo BRT itakuwa Mombasa earlier than Nairobi. Sisi tungoje commuter na light rail.

View attachment 1278594
View attachment 1278567
View attachment 1278574
View attachment 1278577
View attachment 1278592

View attachment 1278583
View attachment 1278597
Leo ndo hamtaki BRT ilikuwaje hadi mkapaka lipsticks kwa road!!..au mlikuwa katika panic mode!
 
Jidanganye wewe subili mwakani utajua ujui ndiyo maana sikuizi wakenya mbwembwe za kutukuza kingereza zimepungua sana siyo kama miaka 8 iliyopita ,baada ya kuona wabongo tunapambana na kiswahili chetu bila kujali MTU
si ati hatuna mbebwe na kingereza tena, nivile we realized Kiswahili might be extinct in our country in less than 50 years. Haimaanishi tukikuza swahili we are killing English. It's just reminding our younger generation that besides English we must protect our native language. Already kingereza tumepata heshima. We only come second after South Africa in Africa and even beat some European countries. Recall there are more than a billion English speakers across the world. Hiyo S.A kwanza its because they have a huge European population. In other words we lead Africans in mastery of the queen's language. Aside from having our tribal languages, any East African should comfortably express themselves in Swahili and English. Ona mahali Kenya tumewekwa
👇 👇
 
Leo ndo hamtaki BRT ilikuwaje hadi mkapaka lipsticks kwa road!!..au mlikuwa katika panic mode!
Hiyo BRT hata New York wamepaka "lipstick." As long as it works nobody cares how you have designed it.



Na hatukuwa panic mode, ni contractor alitaka tender ya magari ipigwe sahihi haraka. Before that there were a lot of discussion on BRT ya Tz kwa media ili kukasirisha uma alafu kandarasi ya kupaka rangi ikatolewa. Our commuter rail is already working and BRT will just be the icing on the beautiful Nairobi infrastructure

commuter rail.jpg

comm2.jpg

comm3.jpg
 
Hakuna kitu cha kufurahia. In fact SGR was unnecessary at this time. Kama waelewa mambo ya infrastructure na economics utajua kwanini SGR yenu ni cheaper. Your reasoning is just juvenile.
Unajaribu kujitetea ujinga 😂😂😂
Alafu unasema reasoning Yangu sijui ni nini kwani huoni alieandika hiyo tweet ni Mkenya mwenzako 😂😂😂
 
Back
Top Bottom