Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

November 29, 2019
Dar-Es-Salaam, Tanzania

FULL HIGHLIGHTS : BOXING

Hassan Mwakinyo VS Arnel Tinampay

It's rare for Tanzania to host cards which get some international attention straight from the Uhuru Stadium, in Dar-Es-Salaam, Tanzania.

Source : Azam TV

Siku ile ilikuwa kama tupo MGM grand arena las Vegas,nevada
Ila shida yetu ni moja katika michezo,hatuwekezi.. lakini kama viongozi watakuwa na jicho pevu kuona fursa iliyo katika michezo,basi tuko vizuri,watanzania kwa umoja wetu tunapenda sana michezo,yaani siku ile tulijaa ilikuwa raha sana
 
si ati hatuna mbebwe na kingereza tena, nivile we realized Kiswahili might be extinct in our country in less than 50 years. Haimaanishi tukikuza swahili we are killing English. It's just reminding our younger generation that besides English we must protect our native language. Already kingereza tumepata heshima. We only come second after South Africa in Africa and even beat some European countries. Recall there are more than a billion English speakers across the world. Hiyo S.A kwanza its because they have a huge European population. In other words we lead Africans in mastery of the queen's language. Aside from having our tribal languages, any East African should comfortably express themselves in Swahili and English. Ona mahali Kenya tumewekwa
👇 👇
Acha kujisifu na ujinga,unaonekana ni mtu mwenye akili timamu kumbe bogasi tu
 
This is awesome
1575283440750.png
1575283924430.png
1575283819511.png
 
Jidanganye wewe subili mwakani utajua ujui ndiyo maana sikuizi wakenya mbwembwe za kutukuza kingereza zimepungua sana siyo kama miaka 8 iliyopita ,baada ya kuona wabongo tunapambana na kiswahili chetu bila kujali MTU
Kwn mwakani mnazindua expreesways ngapi
 
Leo mnashangilia mall na nynyi..si mlisema huaga mnapenda kwenda sokoni, imekuaje tena..

WANAFIKI UTAWAJUA TU
 
Back
Top Bottom