Wadau mm mbona tweet siielewagi kuitmia nyinyi mnafanyaje hadi mnapata mambo mazuri kama hizi comment za wakenya
Duh hii mombasa mbna ya kale kama zanzibar au macho yangu
Yani huo mji umechakaa hauna mfano😀😀Duh hii mombasa mbna ya kale kama zanzibar au macho yangu
Hili eneo la hizo high rises ni upanga au n wap? Mbna sipajui au ni mbele?
Upanga broHili eneo la hizo high rises ni upanga au n wap? Mbna sipajui au ni mbele?
Duh upanga vinashushwa vitu skuizUpanga bro
Taratibu wameanza kujitambua 😂😂😂 hawa wa jf wako denial stage bado 😂😂😂🤣 🤣 🤣
Aisee sikuwahi pay attention kwenye hili, kumbe wanakanya tiles!
Ingia search tab ya twitter pale utakuta trending list Tanzania ipo then humo humo utakuta kila kitu ambacho Tanzania iko mentioned 😂😂😂Wadau mm mbona tweet siielewagi kuitmia nyinyi mnafanyaje hadi mnapata mambo mazuri kama hizi comment za wakenya
Lazima mtu awe na akaunti ya twitter?Ingia search tab ya twitter pale utakuta trending list Tanzania ipo then humo humo utakuta kila kitu ambacho Tanzania iko mentioned![]()
😀😀😀😀😀 mkenya wa kwanza kukubali ukweliSio siri airport mpya ni kali,was there over the weekend but the city is shit
Ndio kwa sababu bila account kuna vitu hutoweza ku access kama trending tab, search nk,Lazima mtu awe na akaunti ya twitter?
Duh upanga vinashushwa vitu skuiz
The city is so beautifulWewe acha ushamba na Dar kuna ghorofa tatu na vibanda vya 5 floor pekeeView attachment 1277834View attachment 1277835View attachment 1277836