Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usitafute ugomvi usio na kichwa wala miguu. Jua historia ya mabishano humu ndani kwanza! Mwanzoni kulikuwa hamna haya mpaka wazee wa Kibera walipoingia humu na majigambo yao!
Kwanza lagos ovyo bora hata Nairobi mwambie huyo jamaa aende YouTube labda aseme mwakani itakuwa dar vs kenya
 
Duh!!lagos ipi hyo, yani lagos nao ni mji
Wenyewe wanigeria walijisahau wakawa wanasifia lagos bila kujua miji mingine Africa hivi majuzi ndiyo wamefumbuka macho na kutambua kuwa wapo nyuma sana hadi wameanza kuitusi serikali yao
 
Wenyewe wanigeria walijisahau wakawa wanasifia lagos bila kujua miji mingine Africa hivi majuzi ndiyo wamefumbuka macho na kutambua kuwa wapo nyuma sana hadi wameanza kuitusi serikali yao
Kawambie wa nigeria ndio utaona...
Lagos wao huiona km london, we wajua au wawasikia wale jamaa
 
Kangemi ni slum hapa Nairobi lakini pia ina estate nzuri tu kama mountain view estate na pia ina gated community kadha...kwa wale bongo hawaijui kangemi iko hadi na mall under-construction, so kangemi hapo bongo ni kama masaki au bezi hivi.Haya tu ni baadhi ya maeneo ya kangemi
tapatalk_1574646262393.jpeg
tapatalk_1574646295745.jpeg
 
Weeeee!!unamdanganya nani hku wakati mlisingizia usalama kumbe ndio mnatoroka mkulima...

Eti watanzania na wa sauz ni marafiki, mbna muogope kupeleka ndege kule km mlishinda kesi dhidi ya yule mkulima kuhusu fidia yake
Kumbe ulishaambiwa kuwa usalama ndo ulichangia kwa serikali ya tz kukatisha route

Oohh sasa unachotaka kingine kujua hili ikusaidie nini bakia na jibu lako kuwa hali mbaya ya usalama ndo ilichangia
 
Kawambie wa nigeria ndio utaona...
Lagos wao huiona km london, we wajua au wawasikia wale jamaa
Hiyo kazi tumewaachieni nyinyi ya kuwa elimisha nawaona wakenya kule nailand forum watitukanana na wanigeria balaa sisi tunangoja MTU atuanze uchokozi ndiyo tuna mnyosha na ukizingatia 2021 miradi yetu mingi itakuwa imekamilika
 
Noma mzee, bomba kama hizi hawana namna inabidi waje kununua Tz, tofauti na hapo inabidi waende Japan au China wakagongwe pesa ndefu.
😁 😁 😁
Na kama wanahitaji zaidi na hawana hela tutawakopesha kwa mkopo nafuu majirani wapate maji safi
 
Back
Top Bottom