Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niliwambia nyinyi wote huishi kwa slum ndio maana Kangemi mnaiona kama masaki vile
Kangemi ni slum,kangemi ni moja ya slums 15 za dunia..

Dunia nzima hujua kangemi ni slum,hiyo ni fact ambayo huwezi pingana nayo..
 
Kangemi ni slum,kangemi ni moja ya slums 15 za dunia..

Dunia nzima hujua kangemi ni slum,hiyo ni fact ambayo huwezi pingana nayo..
Nani amekata kua Kangemi sio slum?...lakini on top of that iko hadi na estate,gated community, mall ,apartments za five to fifteen floor.sasa wewe nionyeshe mall tu moja kutoka masaki au oustybay
 
Nani amekata kua Kangemi sio slum?...lakini on top of that iko hadi na estate,gated community, mall ,apartments za five to fifteen floor.sasa wewe nionyeshe mall tu moja kutoka masaki au oustybay
Kwa nini iwe mall na si brt??


Tumia ubongo
 
Pumbavu....post mall moja tu kutoka kwa hizo vitu mnaita estate sijui masaki....sijui takataka gani
Mall moja tu? Lol, nakuletea hizi zote utapike na ujinga ikutoke
masaki.PNG
 
Kumbe ulishaambiwa kuwa usalama ndo ulichangia kwa serikali ya tz kukatisha route

Oohh sasa unachotaka kingine kujua hili ikusaidie nini bakia na jibu lako kuwa hali mbaya ya usalama ndo ilichangia
Kwani machafuko iliathiri Shuguli za ATCL pekee yake? Mbona Mashirika mengine yalikuwa yakienda kule licha ya hayo machafuko? Na kwani machafuko bado haijaisha?? By now, mngefaa msharejelea safari za kule Kama machafuko ndio ilikuwa sababu kuu ya kukatiza safari. Hii biashara sio kama kuuza karanga za Diamond nani!!
 
This is the exact reason why you are dumb. So, you are comparing informal settlements in Dar to that "upscale suburb" he posted? Hizo ulizonazo ni hasira tu baada ya kuambiwa kuwa bila makeup miji yenu ka kuzimu hivi.
Kuna picha ililetwa hapa ya Nairobi west Mwenzako akasema it's so unattractive. So I was just being the good person that I am ndo maana nikamletea attractive pictures za Mitaa za Dar. Mbona Sasa unawashwa? Don't you think they are attractive? Halafu iweje leo mmekubali that you have informal settlements? I thought you only have what you like to sugarcoat as "unplanned settlements"!!
 
Back
Top Bottom