komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mbna mkasitisha safari za sauzi basiHuyo mkulima ni alishindwa kesi ndo maana ndege ikaachiwa kule SA na hivyo hivyo atashindwa tena kesi huko canada na ndege itakuja bongo
Mbna mkasitisha safari za sauzi basiHuyo mkulima ni alishindwa kesi ndo maana ndege ikaachiwa kule SA na hivyo hivyo atashindwa tena kesi huko canada na ndege itakuja bongo
Mpaka nimeona aibu!! Sasa hapo si watu wanakunywa kutu!! Huku watu tunapata maji safi na salama bila shortages za aina yoyote. Ukienda Nairobi kutumia shower sahau labda ufanye mipango mingine. Wengi humu wanajimwagia maji kwa kopoBado wanatumia miundombinu ya mkoloni wanna miaka 50 na kitu toka uhuru



hawa wakenya hawatujui vizuri.......ukikaa na government ya bongo kwenye kesi lazima tukupe za uso......Huyo mkulima ni alishindwa kesi ndo maana ndege ikaachiwa kule SA na hivyo hivyo atashindwa tena kesi huko canada na ndege itakuja bongo
Plasco kiboko...kusini mwa jangwa la Sahara ni Tanzania tu na SA unaweza pata vitu quality kama bomba hizo.Mpaka nimeona aibu!! Sasa hapo si watu wanakunywa kutu!! Huku watu tunapata maji safi na salama bila shortages za aina yoyote. Ukienda Nairobi kutumia shower sahau labda ufanye mipango mingine. Wengi humu wanajimwagia maji kwa kopo
Compare and contrast na hizo kutu za Nairobi.View attachment 1271417View attachment 1271418
Wanajitamba majengo marefu! Ingia vyooni ni mwendo wa mizigo isiyokuwa flushed! Nairobi the World flying toilet capital! 🤣 🤣 🤣 🤣Mpaka nimeona aibu!! Sasa hapo si watu wanakunywa kutu!! Huku watu tunapata maji safi na salama bila shortages za aina yoyote. Ukienda Nairobi kutumia shower sahau labda ufanye mipango mingine. Wengi humu wanajimwagia maji kwa kopo
Compare and contrast na hizo kutu za Nairobi.View attachment 1271417View attachment 1271418
Plasco kiboko...kusini mwa jangwa la Sahara ni Tanzania tu na SA unaweza pata vitu quality kama bomba hizo.
Kijana lipeni deni wacha longolongo. Ni aibu sana ukizingatia vile Mlikuwa mkutupa picha hapa ndani kila baada ya sekundeMbona somalia na djibout mulitoa flight kuna shida gani
Plasco kiboko...kusini mwa jangwa la Sahara ni Tanzania tu na SA unaweza pata vitu quality kama bomba hizo.
Hizo bomba kipindi zina tandazwa zilikua zimelazwa pembeni mwabarabara. Ilibidi siku moja nikazishangae ukubwa wake maeneo ya Boko, nilitembea ndani ya bomba bila kuinama! Hapa nina urefu wa futi 5! Kuuliza mafundi wananiambia mabomba yanatengenezwa hapa hapa.Wanajitamba majengo marefu! Ingia vyooni ni mwendo wa mizigo isiyokuwa flushed! Nairobi the World flying toilet capital!![]()
![]()
![]()
![]()