babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
😂😂😂
Kusitisha safari ni maamuzi ya serikali na hata siku moja huwezi mpangia mtu routeMbna mkasitisha safari za sauzi basi
Yea and Britam Towers is the same height as Rita Towers. You're a dreamer.
Can you prove your claims?Kenya bomba kama hizi wana agiza kutoka China na TanzaniaView attachment 1271498
Ponte City apartment is 55 floors, Carlton center is 50 floors. You know which one between the two is the tallest in AfricaSure, Both 30floor
Sindano za leo nimezikubali naona hata kasi ya kureply imepungua ss mwakani ndo watakimbia kabisa ni suala la muda tuWakenya wachache wenye akili sio hawa wa jfView attachment 1271555View attachment 1271557View attachment 1271558


You're smart guySure, Both 30floor
nairobi ni dustbin city..Alaf wanakuja hapa kufananisha na dar



uchafu tu ndiyo asili yaoUsitafute ugomvi usio na kichwa wala miguu. Jua historia ya mabishano humu ndani kwanza! Mwanzoni kulikuwa hamna haya mpaka wazee wa Kibera walipoingia humu na majigambo yao!Cz mwakani hatutakuwa na hii Battle ya Nairobi vs DSM tutaanza kuwachokoza Wanaigeria tuwe na Lagos vs Dsm uku tutabadilisha itakuwa Nairobi vs Mwanza![]()
Hizo bomba kipindi zina tandazwa zilikua zimelazwa pembeni mwabarabara. Ilibidi siku moja nikazishangae ukubwa wake maeneo ya Boko, nilitembea ndani ya bomba bila kuinama! Hapa nina urefu wa futi 5! Kuuliza mafundi wananiambia mabomba yanatengenezwa hapa hapa.
Siku hizi hii pressure ya maji imekuwa kubwa mpaka tunapata hasara ya mabomba kupasuka, inabidi usiku tuwe tunafunga au kwenye mita unafungua kidogo. Ata kuosha gari car wash utake mwenyewe, unakua na mpira wako una spray tu mimaji kutoka bombani dakika 10 nyingi gari ina ng'aa.
Mkiambiwa Tz imeamka mnabibisha tu hapa. Uhuruto wenyewe wanaelewa huu mziki, haya nenda kalale uwahi kuamka kesho shule.Can you prove your claims?
Weeeee!!unamdanganya nani hku wakati mlisingizia usalama kumbe ndio mnatoroka mkulima...Kusitisha safari ni maamuzi ya serikali na hata siku moja huwezi mpangia mtu route
Think twice na hata hiyo ndege iliyokamatwa itarudi mjengoni
Ponte City apartment is 55 floors, Carlton center is 50 floors. You know which one between the two is the tallest in Africa