Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ohhh sisi tuna GDP kubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

Wapunguzieni dose hawa majirani zetu maana hali yao sio nzuri kabisa. Na vile wakiona Tz mambo yanavyokwenda ndio wanachanganyikiwa kabisa na kukosa matumaini.

Tuwaombee kwa muweza wa yote ya ulimwengu huu awavushe uchaguzi ujao maana hali sio shwari. Madeni, rushwa n.k kule Mombasa wamelaza Mtu hosii kwa figisu hizi hizi...japo nae alijaribu kujimwambafai na kumuita mzee obasanjo hadi kwa bed hosii Mombasa but bado mambo si shwari.

Huko south tena mradi wao wa makaa ya mawe umetupwa kabisa hivyo ni kilio na maumivu baada ya kutoswa na AfDB. Bado US na China wanawachezea kwenye hiyo express way...dah jumlisha Chinese class One to no where...kwa kweli it's a total failed state.

UK alikuta Deni ni trillion 1.3, hadi Sasa Deni limefika trillion 6! Cha maana alichofanya hakuna.
 
Tutaelewana tu. Mdogo mdogo
IMG_20191115_075811_473.jpg
IMG-20191115-WA0006.jpg

22m vs 28m
 
Wapunguzieni dose hawa majirani zetu maana hali yao sio nzuri kabisa. Na vile wakiona Tz mambo yanavyokwenda ndio wanachanganyikiwa kabisa na kukosa matumaini.

Tuwaombee kwa muweza wa yote ya ulimwengu huu awavushe uchaguzi ujao maana hali sio shwari. Madeni, rushwa n.k kule Mombasa wamelaza Mtu hosii kwa figisu hizi hizi...japo nae alijaribu kujimwambafai na kumuita mzee obasanjo hadi kwa bed hosii Mombasa but bado mambo si shwari.

Huko south tena mradi wao wa makaa ya mawe umetupwa kabisa hivyo ni kilio na maumivu baada ya kutoswa na AfDB. Bado US na China wanawachezea kwenye hiyo express way...dah jumlisha Chinese class One to no where...kwa kweli it's a total failed state.

UK alikuta Deni ni trillion 1.3, hadi Sasa Deni limefika trillion 6! Cha maana alichofanya hakuna.
Bado kuna deni la mchina kwenye another white elephant project inaitwa lamu port 😆😆 yani wanakumbilia kuingia kwenye mikopo mikubwq sana wanasahau ethiopia kashaekeza billions of money djebout kuboresha transportation in and out ethiopia
 
Port of dar imekua tishio kubwa sana kwa bandari ya mombasa na sasa hvi ndio tumerahisisha kazi zaidi na zaidi na tumeboresha miundo mbinu vzr kabisa yani watatoa povu mpaka yesu ashuke😆😆😆
Na majuzi walionywa kuhusu Tanga port 😂😂😂 kuna tweet ililetwa humu.
 
Back
Top Bottom