Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhindi piga kazi
Nilisema mm watatafuta pa kujifcha yn wanapngana wnyw kwa wnyw yule muhuni wa kibera Nicxie anakwambia WaTz tunaitegemea government for everything tukiwaonesha mali za watu bnafc watakwambia hyo c ya fulani ss ww komora096 aliekwambia Bakhressa ni mhindi nani??
 
Kheee!!ngozi nyrupe ikiwa tanzani mnajifanya mna utu kwel...
Hapo ingelikua ni kenya, ungelipiga makofi na kukata mauno hku ukiimba pambio[emoji23][emoji23]
Shida yako kubwa huwa ni kucoment pumba bila kushirikisha angalau asilimia kadhaa ya ubongo wako.
 
Lazima ni kwambie ukwel...kwani ni uongo, ngozi nyeupe kwenu sawa, lkn kenya mnakejeli
Hawa wetu huku wamezaliwa na kukulia huku na hawajajimililisha mashamba ambayo yangefaa kumilikiwa na wanachi wa kawaida na kumaliza kabisa tatizo la njaa kenya
Mfano hapo kwenu mashamba ya chai, maua yanamilikiwa na ngozi nyeupe,
Alafu unasema jamaa wa azam ni muhindi 😂😂😂
 
MAWASILIANO AREA
20191115_133250.jpeg
 
Hawa wetu huku wamezaliwa na kukulia huku na hawajajimililisha mashamba ambayo yangefaa kumilikiwa na wanachi wa kawaida na kumaliza kabisa tatizo la njaa kenya
Mfano hapo kwenu mashamba ya chai, maua yanamilikiwa na ngozi nyeupe,
Alafu unasema jamaa wa azam ni muhindi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuvuta mpka umekuja na ule wimbo wenu...wazawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enheee!!nieleze zaidi...
 
Du yani unalala Kwa mabanda ya slum na unawatoto sibora unge jiasi tu kuliko kuleta viumbe kwenye mateso
Hawajui chochote hao kinachoendelea tanzania...wanafanya kumskia kwenye medias tu wakati anapambwa...

Kuna vitu huaga nikiwaonyesha wanagu wanashtuka, huaga hawaamini kabisa km ni yule magu anayesifiwa mitandaoni...nimeshawatoa matongo tongo wengi sana...
 
Tunasubiria muwalipe kwanza wale vijana wa census.
Tuletee kijana wa census ambae hajalipwa...
My cousin amejikwapulia around ksh 80-90k after tax, alikua ICT supervisor..
Endeleeni na mipasho hko bongolala
 
Tuletee kijana wa census amabe hajalipwa...
My cousin amejikwapulia around ksh 80-90k after tax, alikua ICT supervisor..
Endeleeni na mipasho hko bongolala
Kwa hiyo hao vijana Wanaolalamika kukulishwa bluetick sio wa kenya au?
 
Kwa hiyo hao vijana Wanaolalamika kukulishwa bluetick sio wa kenya au?
Wapi hao...mnake watu walilipwa kw mda tofauti tofauti kulingana na county...
Hicho kiliwafanya wengine ku panic na kuanza kujiona imesshakula kwao, km sikosei mombasa county walikua wa kwanza kwanza...
 
Haha kwa kubadilisha Badilisha gear hewani haujambo,
Mwanzo hapo juu Ulisema wamelipwa sasa hivi tena unasema wanalipwa kulingana na county,
Nenda pale twitter search kenya census money alafu ingia kipengle cha latest 😂😂😂
 
Haha kwa kubadilisha Badilisha gear hewani haujambo,
Mwanzo hapo juu Ulisema wamelipwa sasa hivi tena unasema wanalipwa kulingana na county,
Nenda pale twitter search kenya census money alafu ingia kipengle cha latest [emoji23][emoji23][emoji23]
Kipi ambacho hukukielewa hapo...
Heheee!!siku hizi twitter ndio source[emoji23][emoji23]
Wapi nilisema wanalipwa kulingna na county...elewa tofauti wanalipwa na walilipwa..hvyo ni vitu viwili tofauti

We wachezea media zetu..kitu kingelipeprushwa hewani na mpka watu kohojiwa...wafikiria hku ni kw magu watu wasilipwe halafu media zisifanye yake
 
Back
Top Bottom